Wana jamii habarini za pilikapilika za sherehe. Naomba tujadili hii mada kwanini watawala wengi hasa afrika hawapendi kukosolewa na watawaliwa ambao kimsingi ndo waajiri wao?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.