Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,442
- 12,175
Je ww umetoka kanda ya ziwa kama huyu mwandishi?
Au ni mchaga mwenzangu na upo moshi hapa sasaiv je uliwai kujisaidia kichakani na ile unamaliza kujisaidia uliangalia kilichochini ulikuta kimeungukwa na nini haraka haraka?
Je urifurah kukuta inzi wameisha vamia kinyesi chako?
Je uliwai chomwa na mwiba baada ya kujisaidia kichakani au hapana?
Je ulichambia nini baada ya kumaliza kujisaidia?
Je uliwai kurupushwa na mwenye poli?
Ebu tuelezeee uzoefu wako ww uliyewai!