Barua kwa wanaume wote nchini

Barua kwa wanaume wote nchini

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,568
Reaction score
29,432
*Yafuatayo ni baadhi ya mambo ambayo wanaume mnatakiwa mjirekebishe 2018*
1) *Utakuta mwanaume anasafisha chumba mara 7 kwa wiki*
_hayo ndiyo mambo tusiyoyataka 2018 mwanaume anasafsha chumba mara 1 kwa mwezi yaani mpaka uanze kupga chafya chumban_

2) *eti dume zima unabadilisha boksa kila siku*
_mambo ya kike hatutak mwisho 2017 mwanaume kamili anavaa boksa moja angalau wiki 3 kwa afya mpaka iwe nyekundu ndo ifuliwe_

3) *Mtoto wa kiume unaoga kila siku ili ugundue nn*
_huo ndo umama tunaoukataa sasa utakua na tofaut gan na mtoto wa kike hyo tabia isiingie 2018_

4) *Mwanaume unatandika kitanda kila siku*
_hyo tabia ife ni kutudhalilisha wanaume_

5) *Unakuta Dume linafua mashuka kila wiki*
_hzo ni dalili za uanawake mwanaume hua hafui shuka mpka asikie kuwashwa akilala 2018 hatuitak hyo tabia_

6) *Mtoto wa kiume unakaangiza rost kuliko dada yko*
_huo ni umama_

7) *Unajiita Mwanaume wakat chumba chko kinanukia kuliko cha demu wko*
_hayo ndo mambo tunayoyapga vita chumba cha mwanaume kinatakiwa kiwe na fukuto_
[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
mwisho 2017

_Imetolewa na mwenyekiti wa wanaume nchini
Hakuteuliwa na raisi huyu kama mwenyekiti wa wanawake
 
kuna mwenzio amepandisha uzi wake akidai...kila aendapo anafatwa na inzi wakubwa...amehama mpaka mkoa lakin wapi alipo..wapo..sasa subir na ww yakukute...utatuletea mrejesho hapa
 
Peleka sheria zako huko UMASAINI...!

DARESALAAMA uchafu hafundishwi mtu.

Labda kama unawapa nasaha watu wa MIKOANI..[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hizo ni tabia za jamii maskini za kudhani Usafi ni "umama" Udemu.
 
Hizi tabia kuna ambazo tunaweza kuziacha huku 2017. Ila kuna nyingine lazima tuvuke nazo kwenda 2018.

Kama kutotandika kitanda
Kuacha kurost kuliko mademu

Ila kuacha kuoga na joto hili haiwezekani. Japo huu uzi ni joking zaidi.

Heri ya krismasi
 
kuna mwenzio amepandisha uzi wake akidai...kila aendapo anafatwa na inzi wakubwa...amehama mpaka mkoa lakin wapi alipo..wapo..sasa subir na ww yakukute...utatuletea mrejesho hapa
[emoji15] [emoji15]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom