Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,442
- 12,175
Habar wanabodi?
Hakika mwaka 2017,kwangu unaelekea kuisha vibaya baada ya siku takribani tano sasa tangu bibi mzaa mama atutoke baada ya kuugua kwa mwaka mmoja na majuma manne!
Nikiwa kikazi mkoani Moshi,usku wa manane uliingia ujumbe kwenye simu yangu,
" Mama yangu mzazi amefariki" ulitoka kwenye kwa mamangu mdgo, nilipousoma nikaamua kumpigia mama yangu mzazi aliyekuwa ameenda kumuuguza mama yake, alipokea huku yowe mdomoni.
Skwendelea kuongea nilikata, nikakata ticket na kwenda msibani mkoani KAgera, Wilaya ya Mleba kijiji cha itongo.
Niwe mkweli,nilichokiona baada ya mazishi ya bibi yangu. Usku wa manane kwangu yalikuw si mapya sanaaa ndgu yangu Mshana Jr, nisikutie presha.
Ila sasa ili tukio limenikuta Nikiwa MTU mzima,lire LA awali lilinikuta Nikiwa mdgo ingawa nalikumbuka sanaaaa!
Baada kumzika Bibi,ndgu zangu kama mnavyojua,wanaume tunalala nje wanawake ndani!
Mimi nililala karbu na KABURi LA pamoja na Mjomba wetu mkubwa,ilipofika saaa Tisa ulikuja upepo mkali sanaaa na kupelekea umeme kukatika.
Baada ya upepo,lilikuja GIZA Nene sjawai liona, baada ya GiZA Nene walikuja MBWA idadi iliyofikia 40 na kulizunguka kaburi ghafla mjomba aliniamsha na kuaza kutamka maneno yafatyo,
TIMUKUMWIAMU,TIMUKUMWIAMU, uku akipiga mayowe,nilishutika usngizini na kukutnana na Giza Nene na lundo LA mbwa, na kuanza kupiga mayowe!
Ndgu hamwez hamini hakuna aliyeskia mayowe Yale tuliyopga mm na mjomba,
Tulipoamka hasubuh tulikuta KAburi LA bibi upande wa pembeni limetitia!
Mshana Jr utoe neno kwa kujibu maswali haya!
Je kuna wachawi wala mahiti?
Je wachawi wa kanda ya ziwa utofautiana na wapwani?
Je wachawi walipokuja kwa nn mm na mjomba ndo tuliona?
Je ni kweli mchawi anastafu uchwi na kuacha kbsa?
Mshana Jr uchawi, na mchawi ni haviped maendeleo?
Ni hayo tu!