CRDB simbanking mnafanyaje matengenezo siku ya sikukuu

CRDB simbanking mnafanyaje matengenezo siku ya sikukuu

vous

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2017
Posts
657
Reaction score
649
CRDB hamjaona siku ya kufanya matengenezo isipokuwa leo sikukuu .
Unaenda sehemu unajiaminisha kuwa una pesa unachukua bidhaa na kuhudumiwa kumbe simbanking mfumo hau-operate.

Customer service wanasema kuna matengenezo, seriously!?!!!!
Bora ingekuwa kuna hitilaf,sasa kama n matengenezo si mngewataarif wateja wenu basi juu ya kadhia hii.
 
Siku nyingine ujifunze kutokuweka pesa zako zote benki moja ili uwe na plan B
 
Mifumo ya kibank kupitia kwenye cm ni tatizo kwa Tz.
 
Mbona
CRDB hamjaona siku ya kufanya matengenezo isipokuwa leo,siku kuu .
Unaenda sehem unajiaminisha kuwa una pesa unachukua bidhaa na kuhudumiwa kumbe simbanking mfumo hau-operate.
Customer service wanasema kuna matengenezo, seriously!?!!!!
Bora ingekuwa kuna hitilaf,sasa kama n matengenezo si mngewataarif wateja wenu basi juu ya kadhia hii.PAMBAF.u
Mbona wako vizuri tu, we ndo umejichanganya utaanzaje shoping bila hela mfukoni. Ndo maana Siku hizi unapooda chakula hotelini unalipa kabisakabisa stories za kusahau kubeba hela zilishawachosha watu.
 
Wamenikwaza sana leo 25-12-2017.
Taka taka kabisa
 
CRDB hata kwenye ATM card reissuing wako slow inachukuwa siku 10 kama umepoteza ATM card yako ili kupata nyingine wakati NBC Bank ni dakika chache unapewa ATM card mpya ukiwapatia loss report ya Police
 
Huwa wanachelewa kukupa card nyingine ili kukupa muda huenda ukaiyona card coz waweza kua umei misplace ukaja iyona kumbe haijapotea naisi hiyo ndo sababu
 
Back
Top Bottom