Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,502
- 156
Heshima Mbele,
Nimekuwa nikifuatilia makala za Gazeti la Mwananchi kwa takribani wiki mbili katika internet na sioni makala za kasri mwanazuoni Mtaalam wa Lugha na Mwanadishi Mchambuzi Boniphace Makene. Imekuwaje?
Je kuna mtu anafahamu aliko? Napenda uandshi wake wa zamani ila hapa mwishoni alibadilika sana, kama asemayo Mwanakijiji ukiona hawakuelewi basi ungana nao.
Je ameungana nao??