Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Machi mwaka 2019, maisha ya Bi. Mwajuma Rajabu mkazi wa Tubuyu, Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro yalibadilika ghafla. Akiwa anauza samaki pamoja na wafanyabiashara wenzake pembeni ya barabara...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Ofcoz mnawachukia, mnawachukia kwa maana wamedhibiti vikagarosi wenu wanaoiletea dunia tabu na mateso. Mnawachukia kwa maana wanadaka roho za itikadi kali wenzenu. Kwanini nimchukie mtu...
1 Reactions
5 Replies
109 Views
Askari wa kikosi maalum cha Jeshi la Marekani, Gannon Ken Van Dyke, amekamatwa kwa tuhuma za kutumia taarifa za siri za kijeshi kujipatia fedha kupitia kamari. Kwa mujibu wa waendesha mashtaka wa...
5 Reactions
3 Replies
241 Views
Habari Tanzania !. Nawaomba watanzania wenzangu tuamue kwa pamoja kuwa katika Sheria zetu hasa upande wa Jinai; tuondoe vifungo vya zaidi ya miaka 20 pamoja na kufuta kifungo cha maisha jela au...
2 Reactions
5 Replies
188 Views
Waziri wa Nishati Mhe. Deogratius Ndejembi na Naibu Waziri wa nishati Mhe. Salome Makamba wakiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania. Bi. Fatma Abdallah pamoja na Mkuu wa Idara ya...
1 Reactions
0 Replies
141 Views
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) imetolewa taarifa kulaani kukamatwa kwa Mwandishi wa habari Aloyce Nyanda.
0 Reactions
1 Replies
154 Views
Yaani inakaribia tarehe ya kulipa anakupiga sounds anakuambia yuko vibaya mpaka tarehe fulani,inafika tarehe hiyo unaniambia hela imepelea,mimi sina masikhara,nakufungia ndio uanze kuleta maneno...
6 Reactions
22 Replies
404 Views
Du Hawa jamaa kweli naona walijeruhiwa kweli kweli na Samia hawakutaka hata kusogea kusikiliza taarifa ya uongo. Maaskofu Catholic nawajua vizuri ni watu strict na wakali wamenyooka sana. Yale...
4 Reactions
13 Replies
395 Views
Bilionea Aliko Dangote ametangaza mpango wake wa kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta (refinery) Afrika Mashariki.Tanga, Tanzania Akizungumza katika mkutano wa Africa We Build Summit 2026...
1 Reactions
3 Replies
329 Views
Nimepitia kwenye account moja ya instagram [WORLD DATA RANKING] naona hapa nchi 50 duniani ambazo huzalisha mafuta kwa wingi,ndipo nikaja kujiuliza huu uhaba wa mafuta unatoka wapi? Yaan kwa nchi...
0 Reactions
0 Replies
138 Views
Habarini wakuu, Ni wasaa wetu pia sisi wababa na WA mama wenye nyumba za kupangisha tupate uwanja wetu WA kujadili fursa,uzoefu na changamoto zinazoikabili hii biashara yetu kongwe ya kupangisha...
19 Reactions
69 Replies
4K Views
Anonymous (c258)
Mimi ni mdau na mtumiaji wa Stendi ya Makumbusho na eneo la Makumbusho ndipo palipo ofisi nifanyiapo kazi, kero yangu kuu kama mtumiaji wa stendi ile ni uchafu wa mazingira, hasa eneo au barabara...
0 Reactions
4 Replies
246 Views
Imekuwa ni kawaida sana kuwaona Askari wetu wa jeshi la polisi hapa nchi wakiwa wamevalia vibegi,vizibao na hata nguo nyingine zilizo na maandishi yanayosomeka SWAT tena juu ya Uniform zetu, je...
4 Reactions
15 Replies
444 Views
Wakuu, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni imeelezwa kuwa vijana sita, wakiwemo mabondia wawili, walipanga kumteka mfanyabiashara Deogratus Tarimo kwa lengo la kumlawiti na kumsababishia...
8 Reactions
45 Replies
4K Views
Maisha yanatufundisha sio kila kitu unachokitamani unaweza kukipata, kuna vingine vinabaki kuwa ndoto tu. Watanzania walikuwa wanataka viongozi wenye akili, wazalendo, wanaotumikia wananchi...
9 Reactions
15 Replies
227 Views
Kwa muda mrefu sasa, abiria wanaotumia kituo cha Mwendokasi Kivukoni tumekuwa tukipata shida kutokana na kufungwa kwa vyoo vilivyokuwa vinatumiwa na abiria. Tunapowauliza wahudumu wa kituo hicho...
1 Reactions
0 Replies
168 Views
Ukiwa unasema Tanzania tuko slow kimaendeleo wanakuja machawa wa Samia wanakuambia kama huridhiki basi hama nchi. WTF! Hivi kwa nini machawa wa Samia mnadhani hii nchi ni yenu peke yenu na Samia...
3 Reactions
5 Replies
145 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…