Kherini ya mwaka mpya wapendwa!
Bila kupoteza mda na kuwachosha kwa Maneno meengi,naomba msaada wa majibu ya swali hapo juu,hii ni baada ya kupoteza mayai yangu kwa awamu mbili mfururizo,mwanzo...
Leo Decemeber 31, 2017 makanisa 150 ya kanisa Katoliki yamewataka waumini wao kuitikia wito wa kuandamana wakiwa na biblia mkononi ili kushinikiza kutekelezwa kwa makubaliano yaliyotiwa saini...
Anaandika (kwa lugha nyepesi na rahisi mno kueleweka) baba padre Titus Amigu, padri wa jimbo katoliki Lindi Tanzania na mwanateolojia mtaalamu wa maandiko matakatifu (PhD-Holy scriptures) na...
Walter Habari imekuletea Matukio ambayo yameacha alama katika soka.
Simba, Yanga, kubadili mfumo wa uendeshaji wa vilabu vyao
Kubadilisha uendeshaji wa klabu kutoka uanachama kwenda mfumo wa...
Kesho au kesho kutwa kuna tamko litakalowataka wamuachie mwandishi ili kuwaonesha wananchi kuwa hakuna udikteta.
So hii kitu imetengenezwa kimkakati zaidi kufuta hisia za wananchi kuwa hakuna...
Hapa jamvini kama kulivyo kwingine kokote watu walipo wengi hakukosi maneno yasiyo sanifu;
kuna makosa ya Typinng error, Lugha na hata makosa ya makusudi katika uandishi kama mtindo,
pia huwa...
Unajikuta kijana umesoma mpka chuo kikuu peke yako katika familia ambayo hakuna hata aliye na cheti cha kudato cha nne. Umemalza masomo unajishikiza kufnya kibarua ambacho utaweza kula tu na...
Naona ukimiya wa watumishi kuhusu madaraja,serikal ilihaidi mwezi 11/2017 kwamba italipa,mpaka leo hii kimiya,labda ni kwa baadhi ya mikoa,vp huko mlipo mmerekebishiwa au ni suala la kisiasa !!
Leo usiku wa saa sita nimeshangaa sana karibia dunia nzima imesimama kushangilia tarehe 1/1/2018, tv zimeonyesha miji mbalimbali ikilipuka kwa shangwe, watu wamepiga sana mafataki, azam...
Kuanzia Leo usafiri wa mabasi kutoka Dar kwenda MWANZA utaanza kwa ratiba ya kutoka stendi kuu SAA 11:00 alfajiri badala ya SAA 12:00 asubuhi.
Je nini maoni yako?
Scorpion ni mhalifu hatari ambaye amekuwa akifanya mambo mengi ya kinyama kwa watu na mali zao eneo la Buguruni na maeneo mengi ya jijini Dar na Tanzania kwa ujumla.
Wiki iliyopita alifanya...
Jana muda wa jioni hivi baada ya mhemhe za hapa na pale nilipata fursa na kwenda kupata upepo mwanana katika beach iliyopo Kawe maarufu kama KAWE beach, nilichokutana nacho ni hichi.
Kwa wadau...
Watu wanne akiwemo mzee wa miaka 60 ambaye ni raia wa Ujerumani wameuawa wakati wa kusherehekea mkesha wa mwaka mpya visiwani humo.
Mpaka sasa watu wanne wamekamatwa na Jeshi la Polisi...