Jamani eeeeee hatareeeeeee...
Hizi ni zakunyapia nyapia kumbe makanisa ya kiroho yawatu binafsi aka mali za watumishi kumbe sadaka hazikai bank nakile tunakiona bank nikidunchu yakile wanacho kwa...
Dr Kimeo umekuwa katika nafasi hiyo kama Mkuu wa Benki ya CRDB kwa miaka 20 sasa na kazi yako imeonekana hapa nchini pamoja na changamoto nyingi katika sekta fedha na Banking.
Lakini kuna baadhi...
Miezi miwili baada ya kutoka Keko kwa Kosa LA ubadhirifu,alitoka kwa dhamana ya Milioni 200m yeye na mwenzake!
Aliwai kuwa mkuu wa chuo cha uhasibu miaka mingi sanaaa!
Inasemekana presha na hofu...
Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Kituo cha Nansio wilayani Ukerewe, John Kalongola amejinyonga kwa kipande cha chandarua nyumbani kwake.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amesema mwili wa...
Familia moja ilikuwa nakiwanja kule kibonde maji imerudishiwa kiwanja chao na nyumba baada ya mtu alie jiita mwana familia jina Mushi kutaka kukidhulumu.
Kiukweli ulikuwa mchakato mzito lakini...
Kwa Mara ya kwanza Leo naabudu hapa FGBF kwa baba Askofu Kakobe.
Nimewahi mbele ili nimuone vema baba Askofu akitoa ujumbe wake Leo na kutueleza yaliyijiri alivoitwa police na alivowajibu TRA...
Miye ni msomaji mzuri sana.
Nimeshasoma maelfu ya vitabu,ila kati ya vitabu hivyo vipo ambavyo mpaka sasa najutia kuvisoma.
Vitabu hivyo ni hivi hapa chini na waandishi wake:
1)Fyodor...
Kama ni kweli askofu Kakobe alisema ana hela zaidi ya serikali na akamaanisha hivyo, basi anaweza kufananishwa na yule aliyesema serikali yote ya rais Nyerere ilikuwa mfukoni mwake. Nyerere...
jaman nimekutana na kauli ya Askofu kakobe ambayo sijajua maaana yake nn na kwa nn kaitoa
kuwa yeye anapesa zaidi ya serikali naomba kujua mali zake.......
Huu uzi unaweza kuwa ndio mfupi kuliko yote hapa J.f kwa mwaka huu utadumu hapa kuanzia saa hizi mpaka saa 0000 usiku wa leo.Naomba wana j.f tupeane neno yaani namaanisha ujumbe wa kufungia mwaka...
Watu wa it naomba msaada wa kudownload movie mpya na zaman za kizungu nimejaribu sana kutafuta utorrent lkn nakosa link ambayo itanisaidia kuona movies ambazo ni free alafu nimetumia the piratebay...
Heshima zenu Wakuu....!!!!, Awali ya yote nianze kwa kushukuru MUNGU, kwa kutulinda Salama kwa Mwaka mzima. Ninasema Baba Asante kwa Huruma na Upendo wako usio na Kifani, aidha tunakuomba utulinde...
Heshima zenu Wakuu....!!!!, Awali ya yote nianze kwa kushukuru MUNGU, kwa kutulinda Salama kwa Mwaka mzima. Ninasema Baba Asante kwa Huruma na Upendo wako usio na Kifani, aidha tunakuomba utulinde...
Heshima zenu Wakuu....!!!!, Awali ya yote nianze kwa kushukuru MUNGU, kwa kutulinda Salama kwa Mwaka mzima. Ninasema Baba Asante kwa Huruma na Upendo wako usio na Kifani, aidha tunakuomba utulinde...
Habari wapendwa. Leo nilikuwa mahari fulani na kukawa na ubishi kuhusu vyombo vya moto kutozwa tozo/ushuru katika daraja linalounganisha kigamboni na maeneo mengine ya jiji la Dar kupitia...
Habari za saa hizi wapendwa heri ya mwaka mpya iwe nanyi
Leo naomba niweke wazi kwa kutokuwa na imani na huyu Mh ZZK.
Zitto alikuwa zamani lkn sio huyu Zitto wa sasa
Haya ni kati ya machache...
Habari zenu wakuu,
Nina masikitiko Makubwa sana kwa hiki alilochofanyiwa mgonjwa wangu alielazwa katika ward No 1 chumba cha CCU, Critical Care Unit na Manesi, hususani Manesi walioingia zamu...
Habari wanajamii. Leo naomba kueleweshwa juu ya jambo moja. je kuna uhusiano wowote kati ya dini na mahusiano? nikiwa na maana kuwa je nikitaka kuoa ni lazima tuwe dini moja na mpenzi wangu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.