Huu ni mwaka wangu NNE nikifatilia kipindi chako kupitia star TV!
Kwa Mara nyingi umekuwa ukimwalika ndgu mmoja ajulikanae kwa jina LA Moses huyu ni mm hunifanya nisiangalie kipindi hiki kwa...
Muda huu kuna Mvua kubwa Inaonyesha ikiambatana na barafu (mawe)
Katika eneo la Karibu na nilipo miti imeangushwaaa.
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Hodi humu ndani,
Kwanza,Napenda kutoa pongezi kwa vijana walio chini ya kamati ya ulinzi wa abiria na usalama ktk kituo cha daladala cha makumbusho,mpaka sasa nipo hapa nafanya simple research ya...
Mimi Na wenzangu tumeamua kutoa msaada wa nguo kwa ajili ya mahabusu walioko kwenye magereza mbalimbali.
Naomba kujulishwa utaratibu ukoje. Asante sana.
CC:- Mentor
Kwa upande wangu napendekeza Rais JPM aweke sheria atakaesababisha ajali anyang'anywe leseni na kufungiwa moja kwa moja asiendeshe tena gari. Hii itasaidia kupunguza ajali barabarani hasa zile za...
TECH
JAN 5 2018, 4:56 AM ET
Apple says all Macs, iPhones and iPads affected by Spectre, Meltdown security flaws
BY ALASTAIR JAMIESON
Apple admitted Friday that all iPhones, iPads and Mac...
Shirika la KINNAPA linalofanya kazi ya ushawishi Na utetezi Kwa masuala ya Sera Kiteto limeunganisha wanawake wilayani humo ili waweze kutambua nafasi waliyonayo kisiasa kiuchumi Na kijamii...
Vijana wana hali ngumu, pesa zetu wamezikalia, mtu anafanya kazi labda miaka 5 akitegemea awekeze ili aje apate mtaji afanye shughuli zake Leo hii anafukuzwa kazi mnamwambia pesa zako mpaka miaka...
Wafanyabiashara wa nyama na mifugo jijini Mwanza wamesitisha zoezi la uchinjaji wa ng’ombe kwa siku ya pili sasa kutokana na ongezeko la ushuru wa huduma ya uchinjaji.
Huduma hiyo imedaiwa...
Leo nilikuwa naperuzi hizi local channel na ghafla macho yangu yakatua kwenye EATV, nikakutana na mjadala ambao ulikuwa ukiongozwa na dogo mmoja, simfahamu jina lakini nadhani yupo mda mrefu sana...
Naibu waziri wa Sanaa utamaduni na Michezo, Juliana Shonza amekutana na wasanii Babu Seya na Nguza Viking waliopata msamaha wa rais hivi karibuni kutokana na kosa la kubaka watoto.
Amesema lengo...
Naona kuna kukatika umeme hasa ikifika jioni. Je, ni mgao pasipo kutaarifiana? Sasa hivi Tabata hakuna umeme na jana vile vile katika muda ule ule. Tiambiane ukweli.
Kwa siku takriban nne wakazi wa Kigamboni wamekuwa wakikatiwa umeme kwa utaratibu maalumu ambao haujatangazwa.
Kwa siku mbili jana usiku na juzi kati, umeme umekuwa ukikatika kati ya saa 1 na...
Habari wana JF,
Japo ukubwa wa kichwa si ujazo wa maarifa na wingi wa maarifa tunatofautiana sasa nimeona nisijifanye mjanja sana kwa hili baada ya kunishinda.
Nimekuwa msomaji mzuri wa vitabu...
Leo January 4, 2018 Wajumbe wa Chama cha Wamiliki wa mabasi nchini TABOA wamelazimika kutoka katika mkutano ulioitishwa na Mamlaka ya Uthibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini-SUMATRA- na kuacha...
Habari zenu,
Kwa kweli hili shirika la umeme Tanzania TANESCO hamsomeki kabisa.
Ukatikaji wa umeme umekuwa ni mkubwa mno. Mlituaminisha kuwa tatizo litakwisha kwa sababu ya upatikanaji wa gesi...
Hali ya maisha sasa hivi imekuwa ni tofauti, makampuni yanabana matumizi hivyo nasisi lazima tubane matumizi. Hizi ni mbinu unazoweza kuzitumia kubana matumizi
1. Ukifanya maamuzi ya kuishi...