Gharama za kutembelea Tarangile national park

Gharama za kutembelea Tarangile national park

kuwota

Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
79
Reaction score
28
Habari za wakati wakuu?
Naomba msaada wa taarifa kamili kuhusu gharama za kutembelea mbuga ya wanyama ya tarangile kwa siku moja.nipo mkoani singida hivyo basi ningependa wikiend hii nifanye utalii wa ndani.
Naomba msaada wa mtaalam yeyote anipe makadirio ya chini (minimum cost)niwe kama na shilingi ngapi ?na mchanganuo jinsi itakavyotumika.
Nitashukuru.
 
Back
Top Bottom