Mapendekezo na ushauri kwa serikali kuhusu vijana wanaomaliza vyuo

Dec 18, 2017
16
3
Vijana wengi wako mitaani na majumbani, wengine wamemaliza vyuo kazi hakuna, wengine hawakupata bahati ya kupata elimu za juu ila wote hao wana uwezo mkubwa na idea nyingi nzuri za kuleta maendeleo katika nchi yetu.

Je, wana nafasi gani serikalini na wanasaidika vipi? Ifike mahali serikali yetu iwe na uthubutu.
 
yani wewe mwaka wa tatu huu tangu aingie na bado unategemea serikali???? utachelewa ohooo
 
Vijana wengi wako mitaani na majumban bila kazi wala ajira wengine wamemaliza vyuo hawana kazi na wengine ambao hawakubahatisha kufika elimu za juu.Wote hawa wengi wao wanauwezo mkubwa wa kufanya mambo yatakayoleta heshima na maendeleo katika nchi yetu kuna wenye ideas kubwa na nzur ila hawana pa kushika kufikia ndoto zao na hakuna wakuwaskiliza.Je serikali inachukuliaje hili swala na ni nn kifanyike? Ifike mahala serikali iwe na udhubutu kama nchi zingine zinavofanya kwa vijana.(ushauri na mapendekezo nn kifanyike)?
 
- Watu waache uovu, wamfuate Mungu wao, wamtii, halafu wajitahidi katika eneo lolote la kipato kwa bidii, Mungu atawasaidia njia na namna ya kutoka (NOTE: Sio wakae na kuomba tu basi), wajitahidi pia. Karibuni kwetu Kilimanjaro, Marangu, pesa zilipozaliwa!
 
Nikweli unachosema sio ishu sana kutegemea serikali yetu hii ila ina serikali inamchango mkubwa sana kwa hii issue brother..
hyo iko obvious....lkn ndo hawana utayar wakuwa sehem kubwa na muhimu ya hili tatzo......so what....utakaa kuwasubiri
 
Back
Top Bottom