Mwamba huyo mmarekani mweusi ni miongoni wa makomandoo maalum wa secret service.
Unaambiwa alivyoingia tu ukumbini baada ya ufyatuliaji wa risasi yeye na timu yake walitumia mbinu za medani na...
Usiku huu maeneo ya Palm beach mataa kutokea Aga khan, watoto waili chini under 10, wanafanyishwa biashara na kuomba pesa huku wazazi wakiwa chini ya miavuli.
Watoto wananyeeshewa na mvua baridi...
Ninapenda kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu ujazo wa gesi ya kupikia.
Tarehe 24 March 2026 nilijaza gesi kama kawaida lakini cha kushangaza ni kwamba tarehe 10 tu ya mwezi Aprili gesi imeisha...
Habarini.
Mwaka 2023 waziri mkuu alitangaza sera mpya ya elimu, ikifuta darasa la saba kuanzia 2027.
Hivyo wanafunzi waliopo darasa la 4 mwaka huu wataishia std 6 by 2027 na kwenda kuanza form 1...
Najua waliopiga kura (Wabunge) wamezingatia vitu vingi sana kumchagua mgombea yeyote aliyeshinda, huyu mama ameshinda kwa kura nyingi sana so am interested to know her in details hivyo kama kuna...
Sikiliza kwa makini.
Nitaongea bila kupepesa macho, bila kunawa lugha, bila kulainisha ukingo wa ukweli.
Leo tutajenga maiti ya muungano mezani.
Tutauvua ngozi, tutachana misuli, tutayatoa maini...
Mwanafunzi Mmoja wa Shule ya Msingi Mlembea iliyopo Tarafa ya Mashati, Wilaya ya Rombo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 13 amedai kubakwa na Wanaume watatu tofauti na kwa nyakati tofauti tangu...
Naomba kuuliza wanazuoni kiongozi wa umma kutumia kodi ya serikali kuunda kamati kwa ajil ya jambo fulani kwa maslahi ya UMMA baada ya RIPOTI kukamilika anaamua kuihodhi RIPOTI hiyo na kuwa yake...
Bohari Kuu ya Dawa Tanzania (MSD) imesema ipo mbioni kuleta dawa ya kusaidia kuacha pombe, ili kusaidia wenye changamoto ya uraibu wa pombe.
Meneja wa MSD Kanda ya Dodoma, Mwanashehe Jumaa...
Wakati wa Mkapa Nakumbuka PASCAL MAYALLA alianzisha Kipindi Cha KITIMOTO ambapo watendaji kadhaa na viongozi wa serikali walihojiwa kuhusiana na mambo mbali mbali sasa tunaelekea katika uchaguzi...
Kama mtu ni mwanasheria binafsi(sio wa serikali) kwa mfano unajua kabisa mteja wako ni mfanyabiashara wa dawa za kulevya, fisadi, muuaji n.k kwa nini unampa huduma ya uwakili kama wewe sio mtu...
Ni makadirio tu kulingana na cv zao nzito humu JF
Kuwaomba watu hawa wakutangazie biashara yako kwa kuiingiza kijanja kwenye post zao au kuwaomba wakusaidie field waliyobobea, waweza gharamika...
Jaji Chande katika mapendekezo yake ya kuimarisha usalama na uzalendo alikuwa anaongea mambo ya ajabu ajabu sana ikiwemo kuhakikisha vijana wote wanaenda JKT na kurudisha na kuimarisha mfumo wa...
Pambana wewe mwenyewe ukitazamia ufikie level yao, usiwashirikishe,nataka nikuibie siri,hakuna tajiri anayependa wewe ufanikiwe ufikie level yake, mara zote atakushauri umtegemee Mungu na ufanye...
Nimepitia hii post ya X ya Girishoni na kusoma comments, waah watu wana maumivu 🙌
https://x.com/i/status/2048312570906353711
Kusema ukweli hali ya wananchi wa Tanzania ni mbaya sana, pitia tu...
Donald Trump anawindwa sana na maadui zako ikumbukwe bwana D amenusurika majaribio mengi ya kuuwawa.
Video inaonyesha askari wa usalama wakimtoa kwa haraka japo walianza kwanza kumtoa makamu wa...
Kuna hii mikopo ya Pikipiki na Bajaji inayotolewa na MO Finance (Kampuni ya Mohammed Dewji) hii mikopo ni kandamizi kupitia masharti yake magumu.
Mikopo hii ukishakopwa huwa wanahitaji marejesho...