Nimesoma habari moja kuwa gazeti moja la Jumapili limejifungia miezi mitatu baada ya kuandika habari za kuudhi. Limejifungia na kusema linajipanga upya. Inaruhusiwa kujifungia halafu kosa likaisha?
Waziri mwenye dhamana na afya za watanzania amepata mshtuko na msongamano mkubwa wa wagonjwa leo alipofanya ziara katika hospital ya rufaa ya mkoa wa Temeke alipokuwa anafuatilia taratibu za...
Mwaka 2015 kuna filamu imetengenezwa na jamaa anayejulikana kama John Malkovich mtayarishaji wa filamu nchini marekani, filamu hii ambayo maudhui yake hayajulikani na imewekewa tarehe ya...
Watanzania wanaotumia mitandao ya kijamii, wameaswa kutotumia maneno ya lugha ya kuudhi dhidi ya mwingine. Badala yake wapendane hata kama hawafahamiani wala kuwahi kuonana.
Hayo yamesemwa na...
Action Music Tanzania (AMTZ) inatangaza fursa kwa watu wote kujiunga na mafunzo ya kupiga ala za muziki yanayoanza desemba 19 mwaka huu, lengo likiwa ni kuwajengea uwezo wanamuziki wa kupiga ala...
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela amepiga marufuku vitendo vya wanaume walio kwenye ndoa kupiga wake zao, akisema atakayebainika hatua kali zinachukuliwa dhidi yake.
Akizungumza kwenye...
Jeshi la Polisi Kitengo cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), inamshikilia mfanyabiashara wa vifaa vya magari, Boniface Mbilinyi (32) kwa tuhuma za kusafirisha dola 83,000 za...
Tulikuwa tunaongelea mambo ya Siasa na kwa bahati nzuri anajua Kiswahili kabisa hivyo hakukuwa na shida ya kuelewana!
Nilimshutumu kwamba kwani ni wametoka kwao Uholanzi na kuja kupora na...
Poleni na Majukumu wanajf!
Naitwa CHACHA nipo morogoro ni dereva wa Gari mchanga,
Sisi Madereva wa mchanga ktk manispaa ya Morogoro tuna kero jinsi ukusanyaji wa kodi za Manispaa, Watu wa...
Niifanyeje simu yangu kwani kila nikiingia internate kuna mijitangazo inajitokeza kila baada ya dakika fulani nisioijua! Inani boa sana. Je kwenu munaipata hii hali au mimitu? Na je nifanyeje...
Mimi naamini kabisa kampuni za betting zote duniani ni za mtu mmoja au system inayoongozwa na genge maalumu wanaoelewana. Na bet zote zinazofanyika zinaonekana kwenye system zao.
Nasema hivyo kwa...
Sijawahi kusikia watu wenzetu wakishikana uchawi wapigaramli wala waganga wa kienyeji wakienda kushika wachawi nyumba kwa nyumba kama huku kwetu Mbozi.
Je, Sheria ni kali au kwao hakuna miti ya...
Nimekuwa kimya kwa muda na kwa makusudi ili kujifunza mambo nje ya mitandao ya kijamii lakini nilichojifunza kina ukakasi mwingi mno.
Tulikuwa tukipiga kelele wote kutaka mabadiliko bila...
Mbwa amenikumbusha kitu kikubwa sana katika tukio hili..
Gari ndogo nililokuwamo nikienda kwenye pilika za maisha ilikuwa speed kama80/90 hivi....
Ghalfa tukamwona Mbwa akijitahidi kushindana na...
Wanajamvi miaka mingi nimekuwa nikijiuliza ili swali;
Inatokea viongozi wa waasi wanajulikana kama wakina Wamba Dia Wamba, Kagame, Charles Taylor, Foday Sankoh, "Papoy" Sam Bockirie, "mosquito"...
Taadhali kwa anayenunua vitu kwa huyu dada Monica Michael anapatikana hasa kwanye facebook kwa jina la Monica Michael, instagram na whatsapp, huyu dada ni tapeli na mwizi, husijaribu kufanya nae...
Kuna tafiti kuwa WANAUME wa Tanzania kumbe wanashika namba moja kwa uaminifu Afrika,Je wajua kuna tafiti kuwa wasokunywa pombe hufa mapema kuliko wanaokunywa na Unajua pia kuwa kama kuna...
Habar wana JF
Toka mwaka mpya uingie sijawahi kuanzisha uzi wowote Jf lakini leo hii nimekuja na huu uzi ili kuwakumbusha wapamabanaji wenzangu juu ya utafutaji wa pesa.
Katika utafutaji wa...