Jameni wadaiwa wote wa mkopo wa Higher Education Students Loan Board (HESLB), tulio kwisha anza kulipa na ambao bado hawa jaanza kulipa tufanye utaratibu tuifungulie kesi HESLB.
Hoja zangu ni...
*KUANZIA KESHO 15/01/2018 Ni marufuku kutupa takataka za aina yoyote ile barabarani na sehemu yoyote ile isiyo maalumu. Ukikamatwa fine ya sh 100,000/= inakuhusu na wale abiria wanaorusha...
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kufika katika hii shule ya St.Joseph primary school iliyopo wilaya ya Rombo,mkoa wa kIlimanjaro.Nimejaribu kuiangalia kutoka kwa google map inaonekana ipo karibu na...
Kanisa la Baptist kata ya Isakalilo Mjini Iringa leo latoa misaada kwa jamii isiojiweza.
Mchungaji Aggrippa Kyamajoli Mwangalizi wa makanisa ya Baptist Mkoa wa Iringa na Njombe ametangaza leo...
Wandugu,
Nipeni pole,
Hawa TAMISEMI hivi uhamisho watatoa lini? Mbona wafanyakazi wa umma tunateseka hivi jamani? Yale maahadi yote ya Magufuli, Mama yetu mpendwa mama Samia na ile ya PM kuwa...
Serikali ya awamu ya tano imekuwa inajinadi kuwa si ya kisiasa bali ni ya kiutendaji zaidi. Na President amekuwa akisema yeye ni msema kweli na anaamini kuwa msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Kwa...
Social Issues in the News
“Cows with Gas,” the headline said. In India, cows are considered sacred by that nation’s major religion, Hinduism. They are also an important source of milk and...
wakuu
Nauliza tu kwa kifupi je serikali ya Tanzania imefikia wapi kuhusu kuirejesha ndege iliyozuiliwa huko Canada.
Mwaka mpya huu kimya ni kingi tusisubiri hadi yule dada wa california akumbushie
Weekend iliyopita iliniacha nikiwaza kama adhabu ya Sodoma na Gomora kama itakuja tena au mungu ashatuacha tupambane na hali zetu. Ni sherehe ya watu wakistarehe lkn ikaniacha mdomo wazi pale...
Habari wanajukwaa. Moja kwa moja Niende, Kwenye Hoja, kuna watu wanaosadikika kukusimamisha kukuongelesha na utakwenda wanakotaka na utawakabidhi wanachotaka, baada ya hapo fahamu zinakurejelea...
Kuna uwezekano kuwa Watanzania wengi hawafahamu maana ya symbol ya shilingi ya Tanzania, inayoandikwa kama /= kwa kuwa ina maana iliyojificha sana. Nimeona niwafumbue macho na tumtambue genius...
Inasemekana moto mkubwa umezuka kwenye moja ya jengo na kusababisha taharuki miongoni mwa wakazi wa karibu na Quality Center, Barabara ya Nyerere jijini Dar.
-Chanzo chake hakijafahamika wala...
Ee bwana wanaJF wenzangu mzuka!
Leo nimekutana na hii makitu mtandaoni Bruce alikuwa mvutaji bangi mzuri sana. Yani hii kitu imenipa faraja Kumbe huko mbele ya haki tuna hazina ya kutosha tu...
Kenya Imezindua Ndege Zake Mpya Aina Ya Boeing 787 Dramliner Zenye Uwezo Wa Kubeba Abiria 234 Kila Moja Ambazo Zitafanya Safari Za Moja Kwa Moja Kutoka Uwanja Wa Ndege Wa Kimataifa Wa Jomo Kenyata...
Kila miaka inavyosonga mbele elimu imekuwa ikizidi kuwa ya kitofauti sana,kwa sasa elimu hapa kwetu huchukuliwa kama sehemu,ama LANGO la mambo mabaya,hasa vijana wengi wameona kama sehemu ya...
Habari!
Hongera sana wewe mwanaJF ambaye mpaka sasa watoto wameshalipiwa ada na wameanza shule!
Pongezi zikuendee pia kwa kulipa kodi ya nyumba na pango la biashara yako.
Pamoja na masherehe...
Umeumbwa kutimiza kusudi fulani la Mungu lakini hujawahi kulitimiza ndio maana una hasara. Hasara siyo kwenye biashara peke yake, kuna watu vichwa vyao vina hasara tangu wazaliwe, kichwa haijawahi...
Miswada mitatu ya sheria, ukiwemo muswada wa marekebisho wa sheria ya hifadhi ya jamii, inatarajiwa kuchambuliwa na kujadiliwa kwenye vikao vya kamati za kudumu za bunge, vinavyotarajiwa kuanza...
Mke wangu ni mtumishi alikopa mkopo wa miaka miwili lakini amepata shida je ? anaweza kwenda kukopa tena pesa kwenye hiyo hiyo taasisi ili aongeze mda wa miaka 2 ifike miaka minne sasa hivi...
Pasco, kwa majira haya wewe utaitwa mchochezi, watasema siyo wote wangelisoma hilo gazeti sasa wewe utapewa chapa ya uchochezi kwamba umesambaza gazeti hilo mtandaoni. Just take care
Kwa mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.