Msaada ilipo shule ya St Joseph Primary school Rombo

Msaada ilipo shule ya St Joseph Primary school Rombo

Kishalu

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
1,173
Reaction score
713
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kufika katika hii shule ya St.Joseph primary school iliyopo wilaya ya Rombo,mkoa wa kIlimanjaro.Nimejaribu kuiangalia kutoka kwa google map inaonekana ipo karibu na Mkuu post Office and Rombo district Court
sasa nikiwa kwenye bus nitashukia kituo gani maana kutoka main road ni 2km kufika ilipo ila kwa main road hamna jina kutokana na google map
Msaada tafadhali pa kushukia
 
wewe ukiwa kwenye bus chonga na konda mwambie unapotaka kwenda yeye atakushauri ushuke wapi ambapo patakuwa rahisi kufika ila nadhani hapo mkuu ni eneo maarufu huwezi potea.
 
Shuka kituo cha huruma hospital chukua Bodaboda ya buku unafika, hata ukishuka stendi kuu bado ni karibu
 
Back
Top Bottom