Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wana jamvi, Kwa yeyote mwenye uelewa juu ya hili naomba msaada. Niliomba line ya wakala wa tigo yapata mwaka sasa. Cha ajabu juzi kati niliambiwa na Ofisa mmoja wa tigo kuwa zoezi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
USIMDHARAU USIYEMJUA. Siku moja jioni Rais Obama alimshauri mkewe wakale dinner mtaani huko Washington ktk mgahawa wowote wa watu wa kawaida. Wakakubaliana kisha Obama akatoa taarifa kwa walinzi...
18 Reactions
48 Replies
9K Views
Habari zenu Wakuu hamna siku niliyoaibika kama usiku wa kuamkia leo yaani hii aibu haitokaa ifutike ndani ya historia ya maisha yangu Mimi nimepanga chumba maeneo ya uswazi huku sasa hii nyumba...
12 Reactions
51 Replies
5K Views
Nyie moderator naomba muumpe ban Uyu Mtu Anayejiita #Boniface_Kichonge maana amekuwa akileta hapa Jukwaan Thread zenye maadhi ya uchochezi. Naomba Muumpe Angalau ban ya Mwezi mmoja ili ajifunze...
0 Reactions
3 Replies
675 Views
Waungwana, Pamoja na matamko mengi kutoka kwa waziri na TRA kuhusu local channels ila naona mambo bado. Leo asubuhi nitumiwa ujumbe mfupi kuhusu kukatiwa matangazo siku moja kabla. Hii ni baada...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Ki biashara Tido sasa ni liability. Bakhressa atakuwa anakumbuka jinsi gani Mkapa alivyomfanyia mwaka 95/96. (watoto wengi wa JAMII FORUMS mtakuwa hamjazaliwa bado) Sidhani kama ataendelea...
5 Reactions
90 Replies
12K Views
Dah,huyu mzee wa upako anahojiwa star tv,anaulizwa mzee wa upako we ni tofaut na wachungaj wengne,kwan unavaa vzur,cheni,mapete etc,.akasema ile pete ni ya dhahab ina tanzanite bei yake ni...
7 Reactions
48 Replies
6K Views
Wanachama wa chama cha Ushirika cha Uru Kati Mawela, wamemuomba Rais John Magufuli, kuingilia kati mgogoro wa ardhi wakihofia kufilisiwa shamba walilopewa na Serikali lenye ukubwa wa hekari 213...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam sana, napenda kujua vyanzo vya mapato ukiondoa matangazo. Hapa nijumuishe pia kwa redio zinazoanza kazi. Karibuni
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana jamii forum,mimi ninajihisisha na masuala ya uchimbaji wa visima nna kampuni yangu ya uchimbaji sasa kama mdau katika masuala ya maji nimejionea kuwa maeneo mengi ya Tanzania yana...
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Una majuto yoyote? Naamini watu wengi wana majuto (regrets) kwasababu wamefanya baadhi ya maamuzi yenye matokeo hasi au hawakufanikiwa kupata yale waliyoyatarajia yangetokea katika maisha yao...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Natoa angalizo kwani ukiwa unanunua muda wa maongezi kwa mfano 14999, kifurushi cha mwezi hiki, utapata ujumbe kwamba ombi lako la manunuzi halija kubaliwa sasa we thubutu kuendelea kununua kwa...
4 Reactions
54 Replies
10K Views
Issa Mtuwa alikuwa mtu wa ibada kwa imani yake, mtu aliependa ubora katika kila afanyalo,alipenda kuona mafanikio kwa wanafunzi wake. Alifanya kazi na ITV miaka ya nyuma sana kitengo cha picha...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Mtu aliyejitambulisha kwa jina la Mr. Sanks ameacha vilio huku mkoani Geita na Kagera baada ya kuwatapeli watu zaidi ya 300. Bwana Sanks akiwa maeneo ya Runzewe mkoani Geita alianza kukusanya...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi, (IGP) Simon Sirro amekuatana na viongozi wa dini leo na kuzungumza na vyombo vya habari IGP amesema Ushirikiano waliokubaliana kufanya kati ya Jeshi la Polisi la...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Amani iwe nanyi. Mara baada ya kamati kuu ya Chadema kukaa na kuja na maazimio ya kukataa kushiriki uchaguzi wa marudio kwenye majimbo ya Singida kaskazini, na Longido vijana wengi bendera fuata...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Baadhi ya wazazi katika halmashauri ya mji wa wa Mbinga mkoani Ruvuma wameshindwa kulielewa agizo la Rais Dkt John Magufuli la kufuta michango katika shule za msingi na sekondari na kuvamia shule...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Leo nimekaa na kuwaza kidogo kwa sababu katika pita pita yangu nimekutana na mfanyakazi mmoja wa ngazi ya juu ambaye anasema akiitwa fisadi ni kama "promotion" na hivyo kuandikwa magazetini ni...
0 Reactions
72 Replies
36K Views
Wakala alikosea kutuma ela akatuma kwa jamaa angu. Jamaa fasta ile ela akatuma kwangu bila hata kuniuliza Namimi line yangu ilikuwa nadeni ile ela imeingia jama anambia nitole hiyo ela...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Watanzania wengi tunakosa uhuru wa habari kutokana na gharama kubwa ya kulipia vingamuzi tangu ujio wa digitali. Tunavinunua kwa ela nyingi, lakini pia vituo vyetu vya television vinalipa kodi apa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…