Hawa StarTimes ni sikio la kufa, local channels bure bado hazionekani

Ikwefi

Member
Oct 2, 2013
36
20
Waungwana,

Pamoja na matamko mengi kutoka kwa waziri na TRA kuhusu local channels ila naona mambo bado. Leo asubuhi nitumiwa ujumbe mfupi kuhusu kukatiwa matangazo siku moja kabla. Hii ni baada ya kununua kifurushi cha 600 siku 26 zilizopita. Sijui tutaponea wapi.
 
kweli kaka hata mimi nilikuwa naangalia hapa asubuhi local chanells zimenikatikia mzee
 
Muulize tido muhando kwanini aliingia mkataba mbovu kiasi hicho
Acha kuhararisha kesi ya jana ya tido kuwa ina mashiko.Tanesco ina mikatqba mingi ya capacity charges mpka symbions aiku za nyuma dowqns,je uongozi wa Tanesco ndo ulikuwa ukisaini mikataba hiyo?Hata hivyo kesi ya jana ni kwq masilahi ya wana ccm na si uwajibikaji na itafutwq tu baadaye kwa kukosa ushahidi
 
Naona unaongelea mambo ya Lowassa miaka kumi iliyopita nadhani umeamka kabla hujamaliza usingizi
 
Waungwana,

Pamoja na matamko mengi kutoka kwa waziri na TRA kuhusu local channels ila naona mambo bado. Leo asubuhi nitumiwa ujumbe mfupi kuhusu kukatiwa matangazo siku moja kabla. Hii ni baada ya kununua kifurushi cha 600 siku 26 zilizopita. Sijui tutaponea wapi.
Nenda na hiyo kadi ya Decorder yako makao ya startimes au kwa mawakala wakuu, unabadilishiwa kadi na kupewa ya local free channel. Ila itaku-cost kama elfu arobaini gharama ya kubadili, hii ni kwa mujibu wa utaratibu wao!
 
Aisee wapi hiyo? mbona mi nilibadilisha hiyo kadi kwa elfu 24 mpaka Leo mambo Safi Sina tatizo
 
Hawa startimes niliwakimbia kwa mda ila juzi wakadanganya kuwa wataonesha mechi ya chelsea na Arsenal kupitia tv1 kumbe ujanja ujanjaa hakuna mechi wala nini wakanipiga buku 6 yangu sina hamu nao
 
Waungwana,

Pamoja na matamko mengi kutoka kwa waziri na TRA kuhusu local channels ila naona mambo bado. Leo asubuhi nitumiwa ujumbe mfupi kuhusu kukatiwa matangazo siku moja kabla. Hii ni baada ya kununua kifurushi cha 600 siku 26 zilizopita. Sijui tutaponea wapi.
Tshs 600/= ??
 
Mimj king'amuzi changu kama kina degedege, siku kikiamua kugoma ni mwendo wa no service...Pumbavu hawa wachina.
 
hakuna watu matapeli kama star times ndio maana wakamuingiza king Tido Mhando mwezi desemba walitangaza ofa ukinunua kifurushi wanakupa wiki moja bure hiyo ilikuwa kati ya tarehe 23 hadi 25 cha ajabu mwezi unaisha wanakata ukiwapigia wanasema hiyo ilikuwa ofa kwa wateja maalumu na walikuwa wanatumiwa sms kupitia simu zao za mikononi wanasahau ujumbe ulikuwa unapita kwenye runinga nasubiri kwa hamu mkataba uvunjwe
 
Ukivunjwa users wao tunaachajwe?
 
Back
Top Bottom