kichwa kubwa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 268
- 216
Salaam sana, napenda kujua vyanzo vya mapato ukiondoa matangazo. Hapa nijumuishe pia kwa redio zinazoanza kazi.
Karibuni
Karibuni
Pengine mdomo wako redioKuhongwa na kutangaza habar za uzushi na kuchafua watu ... Media ni silaha hatar sana.. Unakumbuka Manji vs Mengi battle.. Manji alivochafuliwa
Una maana gani sikuelewi mbona? Ina maana lile somo la uandishi wa sentensi ulipata F?Pengine mdomo wako redio