Naomba Msaada

Naomba Msaada

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,448
Reaction score
83,617
Nyie moderator naomba muumpe ban Uyu Mtu Anayejiita #Boniface_Kichonge maana amekuwa akileta hapa Jukwaan Thread zenye maadhi ya uchochezi.

Naomba Muumpe Angalau ban ya Mwezi mmoja ili ajifunze kuwa hapa Jf sio sehemu ya kuleta mada za uchochezi...nafikili wadau wengi mnaaelewa nacho maanisha..all the best Moderator.
 
Amemchochea nani?
 
Upigwe ww na roho yako mbaya mtandao wa wote huu
 
Back
Top Bottom