Je, nina kesi ya kujibu hapa?

Je, nina kesi ya kujibu hapa?

Daud boni

Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
17
Reaction score
1
Wakala alikosea kutuma ela akatuma kwa jamaa angu. Jamaa fasta ile ela akatuma kwangu bila hata kuniuliza

Namimi line yangu ilikuwa nadeni ile ela imeingia jama anambia nitole hiyo ela nitaikuata nikaona fast nijaribu kuiamisha kabla awajakata deni lao kumbe nimechelewa waashakta deni lao ikibidi nitoe iliopo na nikope tena kufidia ela yake ila aikukamilika ikabidi nimwambie nilikuwa nadaiwa na ungeniuliza kabla ujatuma hela

Baada yakumpa hela jama akanipa kifuta jasho nikashukuru mdaa kidogo napigiwa sim namtu simjui anambia ukuakitaja jina langu et rudisha hiyo ela nikamuliza ela gani hiyo uliyotoa nikamjibu nimempamwenyewe mtafuteni wnasema kazima simu sisi tunadili nawewe njo polic kabla atujakutafuta sasa mi hapo nakosa gani????
 
Wakala alikosea kutuma ela akatuma kwa jamaa angu
Jamaa fasta ile ela akatuma kwangu bila hata kuniuliza
Namimi line yangu ilikuwa nadeni ile ela imeingia jama anambia nitole hiyo ela nitaikuata nikaona fast nijaribu kuiamisha kabla awajakata deni lao kumbe nimechelewa waashakta deni lao ikibidi nitoe iliopo na nikope tena kufidia ela yake ila aikukamilika ikabidi nimwambie nilikuwa nadaiwa na ungeniuliza kabla ujatuma ela bada yakumpa ela jama akanipa kifuta jasho nikashukuru mdaa kidogo napigiwa sim namtu simjui anambia ukuakitaja jina langu et rudisha hiyo ela nikamuliza ela gani hiyo uliyotoa nikamjibu nimempamwenyewe mtafuteni wnasema kazima simu sisi tunadili nawewe njo polic kabla atujakutafuta sasa mi hapo nakosa gani????
Izo bangi tu zinakusumbua ....alafu humu Jf sio sehemu yakupost gongo zako izo
 
Kosa ni kuitoa halikuwa si yako.
Kitendo cha kuitoa kinaashiria umekula njama na mtuhumiwa mwenzako.

Usalama wako ungekuwepo endapo ile fedha ungeirudisha kwa aliyekutumia kwa njia ya simu au ungeiacha kama ilivyo waichukue wenyewe.

ZIADA: UAMINIFU NI KITU CHA MUHIMU KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU, USIKUBALI KUTUMIKA KAMA DARAJA LA UHALIFU.
 
Nimekusoma ila misikujua kama ametumiwa kimakosa mpaka nilimpo mpa iyo ela
 
690,000/=
Lisaidie jeshi la polisi kumpata mhalifu wao kwani wakidhamiria kukupata wanaweza.

Watatumia namba za watu unaowasiliana nao kupitia simu yako.

Kama umewahi kununua luku kwa namba hiyo wataona mpaka namba ya mita na watatafuta ilipo wakishirikiana na tanesco.

Kama umetumia nyaraka sahihi kusajilia line yako pia ni rahisi kukamatwa.
 
Nimekusoma ila misikujua kama ametumiwa kimakosa mpaka nilimpo mpa iyo ela
Wasema ulipewa 'shukran' na huyo 'rafiki' alokutia matatani .... je ulipewa sh. ngapi kati ya hiyo pesa ulopokea?
 
Ni mimi sijafahamu au?
Pesa katumiwa jamaa yako kwenye namba yake sasa hao jamaa wamejuaje hio namba yako? Wakati wao wametuma kwenye namba ya huyo jamaa yako. Wamejuaje kama ushaitoa hio hela kwa kutumia namba nyengine.?.
 
  • Thanks
Reactions: De1
SPEAKING FROM EXPERIENCE

Kwenye maisha ukifanikiwa:
1. Kua mkweli
2. Muaminifu na
3 kuishinda tamaa, hakika utakua umejiepusha na matatzo meng sana ya kujitakia, na kaa ukijua 80% ya matatzo ya binadamu anayatengeneza mwenyewe, kwaio katka inshu yako ni 20% ya kumlaumu uyo jamaa, 80% ni yako, usingehusika kwenye hio inshu yote 100% ingekua yake,
Niamin mimi, kuna vitu umefcha au kuongeza na hakika hvyo hvyo ndo vitaenda kukutesa polisi. Hakunaga ujanja ujanja mbaya kama wa simu, nakuhakikishia upo kwako asaiv ila ni sawa na upo mikononi mwao, ukishaona polisi kakupigia simu yako ya mkononi akakuomb uende ujue anajua huna pakutokea la sivyo unataka ujidharirishe.
Zipo njia si chini ya saba ambazo jinsi utakavyokua mkaid ndo zitazd kuku expose

USHAURI UENDAPO POLISI:
nenda mapema,
kawe mkweli,
usiwe na jazba/hasira,
jitahd uspanic
kawe mpole hata kama unaamin huna kosa. Hapo mambo yataisha very smooth, kinyume na hapo jiandae kuchojoa/kusagula pale kaunta.
MWISHO
kama huendi na pesa ya watu na zaid kdg, nenda na mtu wa kukuwekea dhamana, pale hutokag hv hv.
 
watu mna njaa..Mimi juzi nimetumiwa 1million kimakosa..hata sikujisumbua kuitoa..mwenye kutuma akanipigia kuniomba nimrudishie na kuwa alikua anaituma kama ada shulen kwa mwanae anakosoma..nikawa muungwana nikamrudushia pesa yake.jana usiku nikapokea tena laki moja toka kwa Ile Ile namba baadae akanipigia akaniambia hiyo ni asante yake kwangu kwa wema nliomtendea maana hakutegemea kama angeipata Ile pesa
 
Ni mimi sijafahamu au?
Pesa katumiwa jamaa yako kwenye namba yake sasa hao jamaa wamejuaje hio namba yako? Wakati wao wametuma kwenye namba ya huyo jamaa yako. Wamejuaje kama ushaitoa hio hela kwa kutumia namba nyengine.?.

Bada ya jamaa kutuma ela kwangu line yake akatowa hewani kwaiyo mimi niko hewani na nikwa nimemtolea hiyo ela walicho fanya wakafatilia wakakuta imetoka kwa jamaa imekuja kwanngu nami kwakuwa sikuwa nshaka najamaa nilito bila wasiwasi nikampa ela yake
 
SPEAKING FROM EXPERIENCE

Kwenye maisha ukifanikiwa:
1. Kua mkweli
2. Muaminifu na
3 kuishinda tamaa, hakika utakua umejiepusha na matatzo meng sana ya kujitakia, na kaa ukijua 80% ya matatzo ya binadamu anayatengeneza mwenyewe, kwaio katka inshu yako ni 20% ya kumlaumu uyo jamaa, 80% ni yako, usingehusika kwenye hio inshu yote 100% ingekua yake,
Niamin mimi, kuna vitu umefcha au kuongeza na hakika hvyo hvyo ndo vitaenda kukutesa polisi. Hakunaga ujanja ujanja mbaya kama wa simu, nakuhakikishia upo kwako asaiv ila ni sawa na upo mikononi mwao, ukishaona polisi kakupigia simu yako ya mkononi akakuomb uende ujue anajua huna pakutokea la sivyo unataka ujidharirishe.
Zipo njia si chini ya saba ambazo jinsi utakavyokua mkaid ndo zitazd kuku expose

USHAURI UENDAPO POLISI:
nenda mapema,
kawe mkweli,
usiwe na jazba/hasira,
jitahd uspanic
kawe mpole hata kama unaamin huna kosa. Hapo mambo yataisha very smooth, kinyume na hapo jiandae kuchojoa/kusagula pale kaunta.
MWISHO
kama huendi na pesa ya watu na zaid kdg, nenda na mtu wa kukuwekea dhamana, pale hutokag hv hv.

Nimekusoma ila kwanini wasimftilie walie mtumia wanifwatilie mimi
Badayakjua jama kaningiza kwenye matatizo nilimfwa nikamwambia
Alichonijibu nikwamba nipe hiyo ela niliyokupa alf wakija walete nyumbani unapajua kwakigezo kwamba mimi sina kosa naiyo line aliyo tumia kunitumia ela niyawakala nikampa ela yake nimewambia jamaa waje niwapeleke kwa mtu wao wao wanadai awamjui huyo wananijua mimi nilie toa ela
 
Wewe sema ulikuwa unamdai huyo aliyekutumia, ila itabidi usaidie polisi kumtafuta.
 
Back
Top Bottom