Tigo nimeomba laini ya uwakala yapata mwaka sasa, nini tatizo?

Sunshow

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
1,140
391
Habari wana jamvi,

Kwa yeyote mwenye uelewa juu ya hili naomba msaada. Niliomba line ya wakala wa tigo yapata mwaka sasa.

Cha ajabu juzi kati niliambiwa na Ofisa mmoja wa tigo kuwa zoezi lilishindikana na kwamba kama bado nahitaji line niombe upya.

Je jambo hili ni kweli nina wasiwasi line ilitoka wakauza.
 
Ungefuata maelekezo ya huyo ofisa kwanza. Au unawatafuta wazee wa magumashi humu JF?
 
Mimi mwenyewe nimeomba unakaribia mwaka sasa na hamna jibu la kueleweka wanalotoa..

Wanazingua sana..
 
TE="Jorsiea, post: 25476118, member: 465620"]Mimi mwenyewe nimeomba unakaribia mwaka sasa na hamna jibu la kueleweka wanalotoa..

Wanazingua sana..[/QUOTE]
Tena sana. Wanasema niombe upya bila ufafanuzi wa kwa nini zoezi la awali halikuwezekana. Kuna tetesi zikitoka wanaziuza.
 
Habari wana jamvi,

Kwa yeyote mwenye uelewa juu ya hili naomba msaada. Niliomba line ya wakala wa tigo yapata mwaka sasa.

Cha ajabu juzi kati niliambiwa na Ofisa mmoja wa tigo kuwa zoezi lilishindikana na kwamba kama bado nahitaji line niombe upya.

Je jambo hili ni kweli nina wasiwasi line ilitoka wakauza.
Mkuu njoo nikuuzie Yangu nipo UDsm
 
Back
Top Bottom