Ijumaa ya wiki iliyopita nilikwenda ofisi za TRA kufuatilia leseni yangu ambayo nilikwishailipia wiki tisa (9) zilizopita. Hii ni mara ya tatu kwenda kuulizia kama leseni yangu iko tayari. Kila...
Kazoea kunitumia sms hizi.
Habari Ya Huko Tabora Kijana Wangu Kevini Ninakushukuru Sana Kwa Zawadi Uliyo Nitumia Lakini Nadhani Hata Wewe Mwenyewe Umeamini Kuwa Ndagu Yangu Haina Madhara Si...
Dar es Salaam. Invitations to the annual World Economic Forum (WEF) in Davos are sent to individuals, not countries, Foreign Affairs minister Augustine Mahiga clarified yesterday.
This is the...
Kuna wanyama upo uwezekano wa kutoweka ambao ni sungura pori kwetu tunawaita subuya sikasikia hifadhi inayojishughulisha nao.
fisi nhawa. Fisi hawa hupendelea kukaa kwenye makazi ya watu ila wana...
Nimekuwa nikiona kuwa siku hizi ranging za mafuta kutotumika kupaka kuta za nyumba kama ilivyokuwa awali, najua ni mabadiliko ya kiteknolojia, lakini bado sijafahamu haswa sababu ya msingi ya...
Ni miezi kadhaa aliibuka mzee mzima Dk.Shika a.k.a "Bilionea wa nyumba za lugumi"
Kama kawaida mzee aliibuka kama utani na zile ahadi za mabilioni alizoahidi mara ghafla mzee akawa maarufu zaidi...
Kwenu TIRA,
Ninawaandikia humu JF kwa kuwa kwenye website yenu link ya kutoa maoni/malalamiko haifanyi kazi. Ninaamini kwa dhati kwamba kama mnatambua vizuri kazi yenu, basi mtaelewa kuwa...
Kuna mchezo fulani wa bahati nasibu ulikuwepo hapa Tz mwaka 2000 ukiitwa 'Jackpot Bingo'. Sijui hatma yake ilikuwa vipi kwani mchezo ulitokomea kusikojulikana hadi leo!
Walienda wapi wale wazee?
MOROGORO: Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli nchini (RAHCO) imesema wameomba serikli kuipatia Shilingi milioni 994 kwa ajili ya Ukarabati wa Reli ya Kati uliosababishwa na mvua.
Mkurugenzi wa...
Nchi hii inasumbuliwa na maadui 3:- ujinga, uwoga na unafiki.
Ni kosa gani ametenda nabii Tito? Kucheza rumba? Mbona baikoko na rusha roho zimezagaa mitaani? Hizo singeli ambazo wadada...
WAKUU NATANGULIZA SALAM ZANGU KWENU NA TULIJADILI JAMBO HILI KW MAPANA YAKE.
Nadhani kumekuwua na ongezeko kubwa sana la wahitimu wa elimu ya juu kwa level ya bachelor na hata diploma kwa kada...
1. Muda wa alfajiri napunguza mwendo ninapo karibia roundabout, ananiwashia taa kuashiria kuwa niendelee na mwendo mkali,
2. Muda wa jioni kukiwa na giza, nasimama kuruhusu gari inayotaka kuingia...
Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Sheria wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Marlin Komba amesema hamtambui mtu anayejiita nabii Tito na kwamba hajasajili kanisa lake katika ofisi ya msajili wa taasisi za...
SWALI: Kwanini tunaota? Hesabu zinaonyesha kuwa 3/4 ya maisha ya wanadamu wengi yanaishia usingizini.
Lakini cha kushangaza japokuwa mda mwingi tunaumaliza kwenye usingizi lakini mengi yanayokuwa...
Wakuu naomba kuwasilisha..
Makaburi ya Kinondoni yamejaa kiasi kwamba hata sehemu ya kuzikia ni shida. Sana Sana unauziwa eneo kinyemela na ndugu yako kuzikwa juu ya kaburi la miaka mingi na...
Hongera mbunge wa Mtama Nape kwa uzalendo wa kutembelea hifadhi ya Ngorongoro, mimi ni mpiga kura wako nilikuwa kwenye pilika zangu za kutafuta mkate wa kila siku.Mara nikakuona hapa shimoni...
Nilikuwa nachati na rafiki yangu kwa whatsap hapa, alikuwa ananismulia tukio lililowakuta leo maeneo ya Kipawa.
Alikuwa anatoka Gerezani wakiwa abiria wengi katika gari, waliokaa na kusimama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.