Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baadhi yetu huweka akiba zetu kwenye mitandao ya simu sasa huo ugonvi wenu na serikali utaisha lini?maana mko kimya tu mwisho siku ikala kwetu ikizingatia wengine2 hugeuza laini simu vibubu
0 Reactions
1 Replies
997 Views
Nachukua fursa hii kuwaomba SUMATRA kurekebisha na kutangaza katika vyombo vya habari kuwa nauli toka Mbweni kwenda Tegeta Nyuki au kwa Ndevu ni 400/= kama ilivyo mabasi ystokayo Bunju. Nauli ya...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wanaJF, Watu wanne wanaohisiwa kuwa ni wezi wa mifugo na pikipiki wameuawa kwa kukatwakatwa na mapanga kisha miili yao kuteketezwa kwa moto na wafugaji katika kijiji cha Mswaha kilichopo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi Mkoani Tanga limekamata shehena ya dawa za kulevya kufuatia msako uliyofanyika kati ya Januari 1-24 mwaka huu. Taarifa hii ni kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga SACP...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwenye kipato chote halali cha mwaka, asilimia 82 ilienda kwa mabilionea wa dunia huku maskini wakikosa cha kuambulia. Hili limedhihirishwa na ripoti ya shirika la Oxfam iliyotolewa wakati...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Yule Wakili mahiri Ndugu Herbert Nyange amefariki dunia juzi asubuhi. Heshima za mwisho ni kesho (25/1/2018) huko kanisa la KKKT Sengerea. Sambamba na hilo, Jaji mstaafu Robert Kisanga naye...
2 Reactions
37 Replies
8K Views
1.Siwezi kununua gari kwa mkopo. 2.Huyo bwana wake ni mkubwa kuliko yeye, alifuata pesa tuu! 3.Iphone kitu gani, simu simu tuu bora mawasiliano. 4.Siwezi kula chakula cha kwenye fridge...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ndugu wana jamii wenzangu! Sina shaka muwazima wa buheri. Turejee kichwa cha habari husika! Nimejaribu kutafakari kwa kina kuhusu viwanda na uwekezaji katika nchi yangu Tanzania, nimewaza kwa kina...
0 Reactions
1 Replies
655 Views
Asubuhi nimeingia kazini, naona Wahasibu wako busy kujiandaa kwenda MUHAS na manyaraka maana tunawadai almost 70m. Nilipouliza mbona leo mnaandamana wengi wengi? Nikaambiwa kamati ya manunuzi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Miaka michache ilopita vyombo vya habari nchini Afrika ya kusini viliripoti kuhusu kuzuka kwa kanisa la jipya la Kabola ambalo waumini wake walikuwa wakinywa pombe kanisana kama afanyavyo nabii...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Madereva wa gari yoyote (ndogo au kubwa) kumbukeni mmebeba dhamana ya maisha ya watu mliowabeba kwenye magari au wanaotembea kwa Miguu. Yeyote anayehatarisha maisha ya watu wetu hatutamuacha...
11 Reactions
146 Replies
25K Views
Habari za jioni wana bodi. Hili tukio limetokea usiku wa kuamkia jana,ila nimeona niliweke leo ili wahusika walifanyie kazi maana vitendo hivi vimekithiri eneo hilo. Watu wanaosadikiwa kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hawa jamaa ni muda zaidi ya miezi 2 ukicheki website yao hakuna kitu.Mh.JPM tunaomba upitie huku kidogo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dodoma leo kuanzia kama nusu saa lililopita wafanyabiashara wakubwa tunaionja joto ya jiwe baada ya ofisi na biashara zetu kufungwa ikiwa ni sababu ya kutolipia au kutowasilisha return ya kodi...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Habar za Jion Bandugu. Watu wengi huku mtaani wamekuwa wakiongea kuwa uvutaji wa bangi unasababisha ukichaa na mtu kutojielewa ..mpaka watu wengine wakijua unavuta bangi wanaweza kuanza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart-SACH) ya nchini Israel na Kituo cha Moyo cha Berlin (Berlin Heart Center) cha nchini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hizi ndizo hisia zangu:Anayniunga mkono karibu tia uzito, asiyependa pi anaweza tukana sana akichoka asepe.Nape km kitamuuma kw aubaguzi wakidini basi namuomba avumilie kadiri awezavyo akichoka...
4 Reactions
52 Replies
5K Views
Miezi zaidi ya miwili sasa umeme Siku moja upo inayofua haupo hususan mda wa mchana Kwa mwezi mmoja tunapata umeme siku 14 Viwanda huwa vinachakata raw materials ili kupata bidhaa mwisho...
1 Reactions
4 Replies
909 Views
Bila sera ya pamoja ya mda mrefu tusahau kuhusu maendeleo,lowasa atasema elimu elimu,baada ya miaka mitano mpango utaishia robo,atakuja mwingine atasema kilimo kwanza baada ya miaka mitano mpango...
0 Reactions
3 Replies
803 Views
Kama kuna mahali serikali inapigwa ni hapa, hivi inakuaje hawa wanaoitwa mafamasia wanaojihusisha na shughuli za kutumia vyeti vyao kwenye Mafamasi makubwaa hawalipi kodi!inakuaje mtu analipwa...
3 Reactions
34 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…