Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za wakati huu ndugu zanguni. Kama ilivyo ada na kawaida kuhabarishana habari mbali mbali zenye manufaa kwa ajili ya kuepushana na mambo yanayoonekana kutuathiri kwenye jamii na familia hii...
65 Reactions
178 Replies
10K Views
Kama miezi sita hivi imepita tangu niache tungi. Washkaji zangu dizaini fulani hivi kama wananikataa, ukaribu na mimi umepungua, michongo ya fedha hawanipi tena kama zamani. Nafanyaje hapa...
10 Reactions
33 Replies
483 Views
Wakati korido za madaraka zikijaa mijadala ya kisiasa na miradi mikubwa, kuna adui wa kimyakimya anayesambaratisha amani ya nchi yetuโ€ฆ Njaa mitaani. Katika kipindi kifupi bidhaa za msingi kama...
14 Reactions
32 Replies
1K Views
Mashirika ya Kimataifa na Asasi za Kiraia (AZAKI) takribani 20 nchini, zinazounda Kikundi cha AZAKI cha Kukomesha Adhabu za Viboko Tanzania, zimeihimiza Serikali kupitia watunga sera kurekebisha...
1 Reactions
3 Replies
169 Views
Ni zaidi ya miezi 10 sasa tangu tuajiriwe katik halmashauri ya manispaa ya geita. Kila tukiuliza wanasema hela hazijatolewa kutoka serikali kuu. Muda mwengine tukiuliza wanatujibu kikejeli sana...
1 Reactions
2 Replies
146 Views
Hamjambo! 1. Saikolojia ya binadamu ni very complicated kama usipoelewa baadhi ya patterns 2. Mtu asipokuwa sawa ni rahisi kujua tabia zake za ndani. Mfano kiburi, dharau, n.k. 3. Kutokuwa...
6 Reactions
36 Replies
761 Views
Mind is a beautiful thing.
26 Reactions
38 Replies
775 Views
1. Ni kijana mwenye takriban miaka 28 2. Hapo mwanzo alikuwa ameoa na watoto watatu, ana mashamba makubwa ya mpunga na mahindi, ng'ombe, pikipiki yake 3. Shamba lilikuwa na rutuba akilima...
4 Reactions
20 Replies
466 Views
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaye Salmin Rajab (29) fundi ujenzi, mkazi wa Sinoni Jijini Arusha kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake aitwaye Sahiri Salmin mwenye umri wa...
2 Reactions
13 Replies
462 Views
Kijana mwenye umri wa miaka 21 amezua mjadala mkubwa mtandaoni baada ya video yake kusambaa akieleza wazi kuwa hana mpango wa kutafuta kazi. Akizungumza kwa msimamo mkali, kijana huyo alisema...
8 Reactions
33 Replies
393 Views
Wananchi wa Kibaha Muheza tunanyanyaswa na Dk.Zainab Gama (mbunge mstaafu viti maalum CCM) katika mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka 10. Mwaka 2000, Mzee Shole (mlemavu wa ukoma)...
2 Reactions
13 Replies
334 Views
Topic: Upgrading Driving License Classes (Kutoka B na D kwenda C1, C2, na C3) Habari wakuu, Ningependa kujua kwa undani process za kuongeza madaraja ya leseni ya udereva. Kwa sasa nina madaraja...
2 Reactions
3 Replies
626 Views
Mitandao now imepiga hatua mbele kuhusu suala zima la internet. Bado watu wanalipia vifurushi vya gharama kuangalia mipira n.k kwenye visimbuzi?
9 Reactions
95 Replies
2K Views
Leo ni siku muhimu katika ushirikiano kati ya Sweden na Tanzania. Utiaji saini wa makubaliano ya ufadhili kwa Lots 3 na 4 za Standard Gauge Railway mjini Dodoma unaonesha dhamira yetu ya pamoja ya...
1 Reactions
10 Replies
275 Views
Mkaguzi Kata Iragua, Mkaguzi wa Polisi (INSP) Ramadhan Abdalla, akitoa msaada na maelekezo kwa watumiaji wa barabara katika eneo la Nyanya, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro, kufuatia changamoto...
0 Reactions
2 Replies
113 Views
Zamani watu wakweli waliaminika, kuheshimika na hata kulindwa (watu waliogopa kusema na kushuhudia uongo) ila leo imekuwa kinyume chake, watu waongo ndio hupewa nafasi, heshima, ulinzi (ukiwa...
2 Reactions
14 Replies
222 Views
Hii ni story yangu na nitatoa na mifano ya vitu nilivyowahi kufanya. Watu wengi hawakujua, lakini kuna matukio kadhaa yaliyotokea nikiwa mtoto ambayo hayakuwa ya kawaida kabisa. Haikuwa mara moja...
20 Reactions
154 Replies
2K Views
Ndani ya nchi yako unaweza kutembea kwa hofu ya namna hii kweli?
9 Reactions
73 Replies
2K Views
Kauli ya Madam Rita kwa Media ya Mike 360 ------- Jumuia ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA) kupitia Mwenyekiti wake, Ndugu Shaaban Matwebe, imesikitishwa na kulaani vikali kitendo...
6 Reactions
56 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ