Eti na wewe unajifanya kuongea na kumkashifu Lowassa chadema, bila ya watu wa Lowasa wewe ni kidampa tu hata waliokupigainia ukawa Kiongozi wa TLS ni Team Lowassa, hivyo waongee wengine lkn siyo...
Asilimia 90 ya wanafunzi wanasomea mitihani na sio kusoma na kukuza uelewa...
Unakuta mwanafunzi wa form 4, hata kujieleza kwa kiswahili anashindwa, Kwenye R anaweka L....Msije mkasema eti ni...
Jamani naombeni kuuliza
Kuna ofisi ya tra ambayo hufanya kazi jumamosi
Hasa hasa ile ya leseni ya pale karibia na stesheni ni swali tuu jamani naombeni msaada ili niweze kujua
Mwenyekiti wa Bodi ya Parole ,Augustine Mrema leo ameripoti rasmi tukio la kuzushiwa kifo kupitia mitandao ya kijamii katika kituo cha polisi cha OysterBay kilichopo jijini Dar es salaam .
Mh...
Wanabodi,heri ya mwaka mpya,ndugu wanabodi,huyu Dada alikuwa anaishi morogoro mazimbu Malibu na chuo kikuu cha sua,tarehe 3/12/2017,alimwita dereva was bodaboda,akamwagiza awatangulize watoto wake...
Salaam!.
Direct Kwenye Mada wakuu,. Kwa Huku kwetu uswahilini kuna jambo flani linaendelea nimeona tulijadili kwanza.
Hiki kitendo cha Mjukuu wa kiume kuitwa mume Na bibi yake ambaye amemzaa...
Vurugu zimeibuka katika Vijiji Viwili mpakani mwa Wilaya ya Serengeti na Bunda ambapo wananchi wanagombania ardhi.
Taarifa zaidi kuwajia kupitia uzi huu...........
Wakuu naomba kujua historia fupi ya John Okello
• Alikozaliwa na wazazi wake..
je ana ndugu wengine je wako hai?
• Alipokuwa Zanzibar je alikuwa anajishughurisha na nini?
• Alikuwa anaishi wapi...
Hili jambo hunishangaza sana, walio na kimbele mbele cha kujifanya kujua matatizo ya Zanzibar ni watu wa Bara, hii ni ajabu kwa kawaida ilipaswa Wanzanzibari ndo wajae hapa JF kuongelea kupendezwa...
Ndungu zangu wana jamiiforam nimepatwa na janga lakubomokewa na nyumba kwa mvua ile ya jana Yaani ukuta Wote umegongwa na jiwe lillilotoka kwenye kifusi Cha jirani
Nyumba ni mpya nina miezi 5...
Baada ya baadhi ya shule za msingi na sekondari za binafsi kubaki na wanafunzi wachache kumekuwa na mikakati mipya kabisa 2018.
Kubwa zaidi ni kubadili mifumo kwa kulazimisha wanafunzi kulala...
Kwa yeyote anaefahamu chuo, tasisi au sehemu yoyote ambapo yanatolewa mafunzo ya CCTV camera installation anifahamishe city vifuatavyo
-mahari mafunzo yanapotolewa???
-muda wa mafunzo
-Gharama za...
Madereva Bodaboda wa wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi wamekula kiapo cha uaminifu cha kuwalinda watoto wa kike dhidi ya vitendo vya ngono na mimba za utotoni zinazo sababisha kukatisha haki...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mohammed Aboud Mohammed akizungumza na waandishi wa habari huko kituo cha televisheni cha serikali (ZBC) Zanzibar
Jabir Idrissa
KUNA uhalifu...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuanzia Aprili mwaka huu serikali yake itaanza kuwalipa wafanyakazi wa umma kima cha chini cha mshahara cha...
Kwa siku kadhaa kumekuwepo no taarifa Juu ya babucha ya nchini Uganda kutumia dawa Aina ya formaline kuhifadhia Nyama ili isiharibike,
Formaline nini? Hii ni dawa inayotumika Katibu miili...
Tanzania tumenunua ndege, chadema na Tundu Lisu wakaamua kupigania Muzungu akamate Ndege yetu kwa sababu Muzungu anatudai, huyu ni Mtanzania kafanya hivyo, sababu ni kwamba anamchukia Raisi...
Hivi huyu aliyeandika hapa anajielewa kweli!... au anadhani Tanzania hii yuko peke yake?....ama anafikiri sisi hatujui kinachoendelea?
.......eti J: PM kichocheo cha kukua kwa uchumi[emoji23]...