Uzi na Mr Attorney
Fanya uchunguzi wa Train za kuja Dar Ijumaa na Jumamosi.
Utagundua Manzi za Dodoma huwa wanafuraha saana, snapchat, instagram na Tiktok kwa wingi…
Ila Train za Jumapili...
sijui kama mnajua maana ya subscription nyie majamaa biashara yoyote haiwezi fanya ujinga kama huo umepewa options quality na durability ya option lazima iendane na hela huwezi weka kifurushi cha...
Maumivu ni nini?
Maumivu ni hisia ya uchungu au usumbufu ambayo mwili, moyo au akili huipata pale kuna tatizo, jeraha, ugonjwa au emotional stress Sometimes pain is physical and sometimes it’s...
Mke wangu ni mjamzito, leo kwa hiari yangu nikaamua kumpeleka kwenye huduma za klinik kwa mara ya kwanza, na ratiba ya klinik kwa wajawazito wa mara ya kwanza huwa ni ijumaa, nimefika pale...
Yaani mfano kwenye maandiko au hadithi mbalimbali Kuna waovu walibadilika wakawa mashujaa
Je, inawezekana Kwa sasa mtu muuaji kuwa shujaa namaanisha ukombozi.?
Waziri wa Viwanda hatusikii akienda kuzindua viwanda vya kujenga uchumi wa kweli anakwenda kufungua kampuni ya kucheza kamari kwa kigezo kwamba inachangia kodi ina maana mmekosa mbinu nyingine...
Na Mwandishi Wetu.
Dar es Salaam. Kampuni ya Puma Energy Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake katika sekta ya nishati na usambazaji nchini baada ya kutunukiwa tuzo mbili muhimu ndani ya...
Mwandishi wa habari wa Swahili Media Amani Mongi amekatwa muda huu na polisi wakati akirekodi tukio la tu anayedaiwa kuwa mwizi katika eneo la Transfomer kata ya Murieti Mkoani Arusha
Jitihada za...
Sisi ni Watumishi wa Umma katika Kituo cha Afya Mbande tunafikisha ujumbe huu kwa jamii tukitoa wito wa kufanyika kwa uchunguzi wa matumizi mabaya ya madaraka, uhujumu uchumi, maonevu ya kimfumo...
wanajulikana kama Wayahudi wa Ethiopia, ni jamii ya kale iliyodumisha imani ya Kiyahudi kwa karne nyingi katika maeneo ya kaskazini mwa Ethiopia. Je, hawa ndio Waisraeli wa mwanzo?
Kihistoria...
Wakuu, naombeni msaada
Nimeoa, mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja lakini kila siku nakutana na mitihani ambayo nashindwa kuelewa ni nini kinatokea, tunapolala usiku kila nikiamka usingizini...
Mwandishi wa habari wa Swahili Media, Amani Mongi, amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita wakati akiwa katika eneo la Transfoma, kata ya Murieti mkoani Arusha akirekodi tukio la mtu...
Wazindua awamu ya pili ya maombi ya ufadhili
Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) Tanzania, kupitia programu yake kinara ya ubunifu ya FUNGUO inayofadhiliwa kwa ushirikiano na Umoja wa...
I think kama hii kitu iko on the rise basi ni muda wa kurudi nyumbani. Like seriously how can you live with these people 🥷
Watu wavivu, masikini wasiopenda kufanya kazi, wanasingizia matatizo yao...
Mwandishi Wetu, DODOMA, Aprili 26, 2026
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametumia mamlaka yake ya kikatiba kutoa msamaha wa kupunguza adhabu kwa wafungwa 1,369...
Dunia inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kukomesha Adhabu za Viboko shuleni leo. Nchini Tanzania, baadhi ya mashirika ya haki za binadamu na yale yanayojihusisha na elimu yametoa tamko la pamoja...
Huyu Dada kafanya kosa la kiufundi kwenye biashara yake. Kutamka kiasi anachoingiza hadharani tena kwenye chombo cha habari ni mwanzo wa kuiua biashara yake. Hapo kutajaa wauza barakoa...