Mabasi yanayofanya safari za kutoka Bukoba kuelekea Mwanza ambayo yametoka saa 12 asubuhi yamekamatwa hapa chato muda wa saa tatu kasoro na mengine saa tatu kamili. Mabasi hayo ni Peace Maker...
WATUMISHI wanne wa Idara ya Ardhi na Maliasili, Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa, wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya Sh...
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kawaida ya wadada kutupia picha na video za makalio katika mitandao.
Kuna madhara makubwa ; wengi ufanya kwa kuangalia leo,tazama utakapofika miaka 50 au 60...
Maana tazama giza litaifunika dunia,Na giza kuu kabila za watu,
Bali BWANA atakuzukia wewe,na utukufu wake utaonekana juu yako. Na mataifa wataijilia nuru yako,na wafalme kuujia mwanga wa kuzuka...
Heshima kwenu wakuu,
Nimewahi kukumbwa na hali ya nywele kusisimka ghafla na kuwa kama zinasimama au kurefuka ghafla hasa napotembea nyakati za usiku na Mara moja nilikuwa nimelala kitandani.
Hali...
Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Kanisa la Methodisti, Askofu,Yusuf Bundala, ambaye pia ni Askofu wa Jimbo la Dodoma, imeeleza alipelekwa Muhimbili akitokea TMJ baada ya kujisikia vibaya kutokana...
Cheap labor is always expensive. Hivi vituo vya utangazaji vinavyookota watangazaji mitaani bila kujali viwango na uwezo wao, vinakera sana. Unaajiri mtu asiyejua hata kusoma wa kutamka maneno ya...
Wadau
Mheshimiwa Dk Mwigulu Nchemba ambae pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani amesema kuwa mara baada ya kukamilika zoezi la utoaji wa Vitambulisho vya Taifa ( NIDA) inatarajiwa kuwa vitambulisho...
SUNDAY, MAY 12, 2013
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya uteuzi wa Mabalozi Wapya kujaza nafasi zilizo wazi na kuanzisha Ofisi za Ubalozi...
Gazeti la Mwananchi la Jumapili 31 Desemba limeripoti kuwa Mahakama Kuu Tanga imetupilia mbali maombi ya Swabaha Mohamed ambae aliangua kilio mbele ya Rais John Magufuli akidai kuwa yeye ni mjane...
Mpendwa mteja wa Halotel; tafadhali tembelea duka au Wakala wetu alie karibu nawe kuhakiki taarifa za usajili wa namba yako ili kuepuka usumbufu wowote unaoweza kujitokeza. Piga *106*03# kupata...
Tuliowahi kukubaliwa na wadada kimapenzi ila wakawa wanadai wanaogopa kutoa dudu zao eti kisa wapo silidi na badae unafanya jitihada unafanikiwa kuingia na kukuta kabwawa ka samaki. Njoo tuambia...
Wadau heri ya Mwaka Mpya!
Tungependa kushare vitu vichache ili mwaka 2018 uwe mwaka Wa Mafanikio,Taja Angalau kitu kimoja ambacho kitamsaidia mtu kufikia mafanikio yake 2018.
1.kumtanguliza Mungu...
GUIDELINE TO SUCCESSFUL AND POWERFUL ANSWERED PRAYERS
Beloved, sons and daughters of GOD, I greet you in the name of JESUS CHRIST, peace be unto ye all. Let me share with you a secret of...
Wapo baadhi ya watu wamekuwa wakiamini kwamba Mungu anayeabudiwa na wakristo ndiye Mungu anayeabudiwa na waislam. Binafsi nimekuwa nikipingana na msimamo huu. Kwa sura ya nje tu tunaweza kuona...
Habari wakuu,
Imekuwa kawaida kwa bwana yule anapohutubia kuongea tofauti na matarajio ya wengi na mara nyingi huishia kuchafua hali ya hewa na kukera watu na HII INATOKANA NA WANAOMZUNGUKA...
Tani 16 za samaki aina ya Sangara zilizovuliwa na kukaushwa kinyume na sheria kinyume wamekamatwa kisiwa cha Rubili kata ya Mazinga wiayani Muleba kufuatia msako wa kushtukiza uliofanywa na...
Habari za leo wana JF.
Poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima.
Leo tunaelekea kuuaga mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018.
Pamoja na majukumu mengine, Azam Media wameandaa kitu muhimu,mahsusi na...
Imeelezwa ukosefu wa fedha za kununulia mbegu kwa wakulima Kiteto utafanya walime kilimo kisichokuwa na tina..
Hayo yameelezwa na baadhi ya wakukima baada ya mvua kuanza kunyesha na kuhitaji...
Kwanza tujue kuwa kuna tofauti kubwa kati ya kutekwa na kukamatwa.Swala la masudi kipanya tusiliendeshe kisiasa kama wenzetu wa ufipa wanavyotaka liwe tusiwe watu wa negative thinking mda...