Halotel huu mmeseji wenu unaniboa

Halotel huu mmeseji wenu unaniboa

Zamaulid

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
20,095
Reaction score
16,290
Mpendwa mteja wa Halotel; tafadhali tembelea duka au Wakala wetu alie karibu nawe kuhakiki taarifa za usajili wa namba yako ili kuepuka usumbufu wowote unaoweza kujitokeza. Piga *106*03# kupata namba ya simu ya Wakala wetu alie karibu nawe. Asanteh.


Ilikuwaje mniruhusu kuwa hewani kama sijakamilisha usajili...inabidi TCRA iwashughurikie kwa kuruhusu namba zisizosajiliwa kuwa hewani
 
Back
Top Bottom