Ili kuepusha aibu na fedheha

Ili kuepusha aibu na fedheha

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,570
Reaction score
16,359
Habari wakuu,
Imekuwa kawaida kwa bwana yule anapohutubia kuongea tofauti na matarajio ya wengi na mara nyingi huishia kuchafua hali ya hewa na kukera watu na HII INATOKANA NA WANAOMZUNGUKA KUMUACHA AWE ANAPIGA FREESTYLE. Sasa kama ushauri tuu kama anaona aibu kupanda jukwaani na makaratasi ya kusoma mnaonaje washauri wake wakawa wanatembea na TELEPROMPTER ili hotuba awe anawekewa pale anasoma bila mtu kujua kuwa anasoma sababu ile huwa inaonesha maandishi upande mmoja tuu. Najua hii itapunguza bwana yule kuharibu hali ya hewa anapohutubia. Ni hayo tuu wakuu
StageProPair.jpg

hii ndio teleprompter inatumika ku display speech
 
Nia yako ilikuwa kutueleza kazi ya hivi vitu viwekwavyo mbele ya waheshimiwa yaani TELEPROMPTER.
 
Nia yako ilikuwa kutueleza kazi ya hivi vitu viwekwavyo mbele ya waheshimiwa yaani TELEPROMPTER.
Nia yangu ni kuonesha umuhimu wake hasa kwa bwana yule
 
Back
Top Bottom