Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Wadau
Mheshimiwa Dk Mwigulu Nchemba ambae pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani amesema kuwa mara baada ya kukamilika zoezi la utoaji wa Vitambulisho vya Taifa ( NIDA) inatarajiwa kuwa vitambulisho hivyo vitumike kupigia kura katika chaguzi mbalimbali.
Chanzo: Habari Leo