je watanzania tutacha lini kuwa na negative thinking?

Developer IOS

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2017
Posts
1,456
Reaction score
1,410
Kwanza tujue kuwa kuna tofauti kubwa kati ya kutekwa na kukamatwa.Swala la masudi kipanya tusiliendeshe kisiasa kama wenzetu wa ufipa wanavyotaka liwe tusiwe watu wa negative thinking mda wote.Naomba tusijifanye wajuaji sana kwenye maswala ya uweledi. Kujifanya wajuaji hakusaidii kitu madam tuna vyombo vya ulinzi na usalama tusubiri ndio vinastahili kutoa kauli ya mwisho.Naomba katika hili tuache kila mtu kujifanya msemaji wa jeshi la polisi
 
We have bad experiences wengi wamepotea tuambie wako wapi Tumechoka na hao watu wasio Julikana
 
Screenshot_20180101-221248.png
 
Kwanza tujue kuwa kuna tofauti kubwa kati ya kutekwa na kukamatwa.Swala la masudi kipanya tusiliendeshe kisiasa kama wenzetu wa ufipa wanavyotaka liwe tusiwe watu wa negative thinking mda wote.Naomba tusijifanye wajuaji sana kwenye maswala ya uweledi. Kujifanya wajuaji hakusaidii kitu madam tuna vyombo vya ulinzi na usalama tusubiri ndio vinastahili kutoa kauli ya mwisho.Naomba katika hili tuache kila mtu kujifanya msemaji wa jeshi la polisi
Kwakua unajifikiria uko salama unajipa "ujinga" wa kutothamini akili ya wenye hofu. Itoshe kukutaarifu kwamba watu wameteswa, kupotezwa na kuuwawa bila vyombo vyetu kuona umuhimu wa kuonyesha wajibu wake kwenye hilo. Hii propaganda unayoendesha kwa maandishi itakachovuna ni chuki kutoka kwa unaofikiria wataghafilishwa na utatata unaouzua kwenye hali halisi. Uwetayari kwa matokeo ya Kazi yako batili
 
Aisee haya unayoaandika kama una interest na unayo yatetea basi una haki kama ni mshabiki basi wewe ni kitobo
 
Kwakua unajifikiria uko salama unajipa "ujinga" wa kutothamini akili ya wenye hofu. Itoshe kukutaarifu kwamba watu wameteswa, kupotezwa na kuuwawa bila vyombo vyetu kuona umuhimu wa kuonyesha wajibu wake kwenye hilo. Hii propaganda unayoendesha kwa maandishi itakachovuna ni chuki kutoka kwa unaofikiria wataghafilishwa na utatata unaouzua kwenye hali halisi. Uwetayari kwa matokeo ya Kazi yako batili
Tanzania ni mahali salama kabisa acha kusambasa propaganda ovu ukihisi unaonewa jua una complex of inferiority
 
We kama unawaamini hao polisi Sawa, wengine tunaona kama ni tawi la Lumumba tu chini ya Pole pole

Au hujui walichofanya kwenye chaguzi ndogo zilizopita?

Unafikiri sisi tusiowaamini ni wajinga au WAPUMBAVU? Au unahisi sisi ni vichaa???
 
Mbona zamani watu hawakuwa na hizo unazoita negative thinking?

Nini kinawafanya hivi sasa watu wawe na negative thinking?

Alianza Ben Saanane; mkasema amejiteka mwenyewe!

Akaja ROMA na mwenzake mkasema kiki za kutolea ngoma!

Akafuata Mwandishi wa Mwqnanchi... cjui imeishia wapi!!

Ni mpumbavu tu ndie anaweza asiwe na mashaka hata anapoona a certain government critic haonekani and his/her whereabouts are unknown!!

Look at Kipanya! Unataka kusema Clouds walikurupuka kutangaza wanafuatilia kufahamu alipo Masoud kabla hawajawasiliana na familia yake au watu anaokuwaga nao?

Going public ina maana walishaulizia but ended with ZERO results!

No wonder Masoud kasisitiza kwa herufi kubwa kwamba; waliosambaza taarifa za kutoweka kwake WAMESAIDIA!

Btw, why should one trust hivyo vyombo vya usalama kwamba watatoa taarifa?

Mwaka umepita kuhusu Ben Saanane; unaweza kutuonesha hiyo taarifa ya vyombo vya usalama?

Unaweza kuonesha taarifa ya vyombo vya usalama kuhusu ROMA na mwenzake?

Unaweza kuonesha taarifa ya vyombo vya usalama kuhusu Mwandishi wa Mwananchi?

Unaweza kutuonesha taarifa ya vyombo vya usalama inayotokana na maiti ambazo zilikutwa kwenye viroba?

Unaweza kutuonesha taarifa ya vyombo vya usalama kuhusu ni nani hasa walikuwa wanafanya mauaji kule Kibiti?

Hapo cjadai taarifa kuhusu nani walitaka kumuua Tundu Lissu!

Sijadai taarifa kuhusu ni wakina nani waliwateka na kuwaheruhi vibaya Dr. Ulimboka na Absolom Kibanda let alone ambae alimwagia tindikali Kubenea!

So, stop talking about vyombo vya usalama!

Unaweza kuwa au kujifanya kipofu lakini wengine macho yetu bado yanatoa nuru!
 
Back
Top Bottom