Wakulima Kiteto walalamikia bei za pembejeo

Wakulima Kiteto walalamikia bei za pembejeo

JAMHURI

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
449
Reaction score
60
Imeelezwa ukosefu wa fedha za kununulia mbegu kwa wakulima Kiteto utafanya walime kilimo kisichokuwa na tina..

Hayo yameelezwa na baadhi ya wakukima baada ya mvua kuanza kunyesha na kuhitaji pembejeo za kisasa bila mafanikio..
 
Kilimo cha mazoea kulima ekari 100 na kupata gunia 10 ni kawaida tu..
 
Back
Top Bottom