Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sirro Mdogo (kushoto) akizungumza na mwandishi wa MWANANCHI. Siyo rahisi kuamini kuwa mtu aliyekuwa jambazi kwa miaka mingi anaweza kuacha uhalifu huo na kujitokeza hadharani kueleza namna...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Aiseee!! Nimepita hapa Ubungo maji naona vile-wanabomoa kitaalam zaidi. Heko sana. TBA jiepusheni na kelele za wanasiasa
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Hakika kuchinja si kazi ndogo kama una huruma; sasa sielewi wanaoteka na kuchinja binadamu wenzao kama huwa ni watu pia au ni mitambo maalum!!! Maana kuchinja ni kazi sana!!!
1 Reactions
17 Replies
2K Views
UNGEFANYA NINI? Mwanamke alimkimbia mumewe na akamuachia mtoto mwenye miaka mitatu. Sababu kubwa ya kumkimbia mumewe ni kwamba alipata boyfriend mwenye hela ambaye alikuwa akiishi Michigan huko...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mabasi yanayofanya safari za kutoka Bukoba kuelekea Mwanza ambayo yametoka saa 12 asubuhi yamekamatwa hapa chato muda wa saa tatu kasoro na mengine saa tatu kamili. Mabasi hayo ni Peace Maker...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
WATUMISHI wanne wa Idara ya Ardhi na Maliasili, Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa, wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya Sh...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kawaida ya wadada kutupia picha na video za makalio katika mitandao. Kuna madhara makubwa ; wengi ufanya kwa kuangalia leo,tazama utakapofika miaka 50 au 60...
15 Reactions
29 Replies
7K Views
Maana tazama giza litaifunika dunia,Na giza kuu kabila za watu, Bali BWANA atakuzukia wewe,na utukufu wake utaonekana juu yako. Na mataifa wataijilia nuru yako,na wafalme kuujia mwanga wa kuzuka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu, Nimewahi kukumbwa na hali ya nywele kusisimka ghafla na kuwa kama zinasimama au kurefuka ghafla hasa napotembea nyakati za usiku na Mara moja nilikuwa nimelala kitandani. Hali...
5 Reactions
68 Replies
20K Views
Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Kanisa la Methodisti, Askofu,Yusuf Bundala, ambaye pia ni Askofu wa Jimbo la Dodoma, imeeleza alipelekwa Muhimbili akitokea TMJ baada ya kujisikia vibaya kutokana...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Cheap labor is always expensive. Hivi vituo vya utangazaji vinavyookota watangazaji mitaani bila kujali viwango na uwezo wao, vinakera sana. Unaajiri mtu asiyejua hata kusoma wa kutamka maneno ya...
2 Reactions
25 Replies
6K Views
Wadau Mheshimiwa Dk Mwigulu Nchemba ambae pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani amesema kuwa mara baada ya kukamilika zoezi la utoaji wa Vitambulisho vya Taifa ( NIDA) inatarajiwa kuwa vitambulisho...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
SUNDAY, MAY 12, 2013 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya uteuzi wa Mabalozi Wapya kujaza nafasi zilizo wazi na kuanzisha Ofisi za Ubalozi...
1 Reactions
165 Replies
15K Views
Gazeti la Mwananchi la Jumapili 31 Desemba limeripoti kuwa Mahakama Kuu Tanga imetupilia mbali maombi ya Swabaha Mohamed ambae aliangua kilio mbele ya Rais John Magufuli akidai kuwa yeye ni mjane...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mpendwa mteja wa Halotel; tafadhali tembelea duka au Wakala wetu alie karibu nawe kuhakiki taarifa za usajili wa namba yako ili kuepuka usumbufu wowote unaoweza kujitokeza. Piga *106*03# kupata...
1 Reactions
0 Replies
832 Views
Tuliowahi kukubaliwa na wadada kimapenzi ila wakawa wanadai wanaogopa kutoa dudu zao eti kisa wapo silidi na badae unafanya jitihada unafanikiwa kuingia na kukuta kabwawa ka samaki. Njoo tuambia...
5 Reactions
46 Replies
8K Views
Wadau heri ya Mwaka Mpya! Tungependa kushare vitu vichache ili mwaka 2018 uwe mwaka Wa Mafanikio,Taja Angalau kitu kimoja ambacho kitamsaidia mtu kufikia mafanikio yake 2018. 1.kumtanguliza Mungu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
GUIDELINE TO SUCCESSFUL AND POWERFUL ANSWERED PRAYERS Beloved, sons and daughters of GOD, I greet you in the name of JESUS CHRIST, peace be unto ye all. Let me share with you a secret of...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wapo baadhi ya watu wamekuwa wakiamini kwamba Mungu anayeabudiwa na wakristo ndiye Mungu anayeabudiwa na waislam. Binafsi nimekuwa nikipingana na msimamo huu. Kwa sura ya nje tu tunaweza kuona...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wakuu, Imekuwa kawaida kwa bwana yule anapohutubia kuongea tofauti na matarajio ya wengi na mara nyingi huishia kuchafua hali ya hewa na kukera watu na HII INATOKANA NA WANAOMZUNGUKA...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…