Hongera wabomoaji wa jengo la TANESCO

Hongera wabomoaji wa jengo la TANESCO

Sueky

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
320
Reaction score
205
Aiseee!! Nimepita hapa Ubungo maji naona vile-wanabomoa kitaalam zaidi.
Heko sana. TBA jiepusheni na kelele za wanasiasa
 
Aiseee!! Nimepita hapa Ubungo maji naona vile-wanabomoa kitaalam zaidi.
Eko sana TBA jiepusheni na kelele za wanasiasa
Ila aliyelijenga hakuwa "mtaalam" kama yule aliyejenga hostel angeweka expansion joints angewarahisishia kazi wabomoaji
 
Wewe upo/umetumwa na TBA umekuja kutafta sapot humu, umeshndwa hata kujizuia yaan naona kbsa lengo la mada uliona linakuchelewesha kuhamia kwenye aya ya TPA.

Samahan wana jf, hivi kubomoa na kujenga kupi rahisi?
 
HII KITU NINACHOTUMIA HAKIWEZI KULETA PICHA HAPA
 
namimi. ndio napita hapa ..Jamaa wako vizuri maana wameagiza crane kabisa..wanafanya dhughuli yao kitaalamu kabisa...

daaahh ila mchato nyoko

[HASHTAG]#atubu[/HASHTAG] tu
 
Aiseeeeh!

Napita tu kwa sasa.

Maana, sina mkojo kwa muda huu na wala sitaki kunywa vimiminika ili kutengeneza mkojo na kuupeleka kuleee kwenye jumba lile la DNA na vipimo vizito.
 
Wewe upo/umetumwa na TBA umekuja kutafta sapot humu, umeshndwa hata kujizuia yaan naona kbsa lengo la mada uliona linakuchelewesha kuhamia kwenye aya ya TPA.

Samahan wana jf, hivi kubomoa na kujenga kupi rahisi?

Kubomoa ni kugumu!!. Kunahitaji ujasiri wa hali ya juu.. umejenga mwenyewe kwa resources zako.. then unabomoa then unatafuta upya resources za kujenga upya.. its difficulty!
 
Back
Top Bottom