Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Serikali tunaomba ndugu zetu waliopo South Africa warudishwe nyumbani. Kuna video inasambaa mtandaoni ikimuonyesha mtz akipigwa sana kama mbwa huko South africa Hizi ngozi nyeusi zimelaaniwa...
9 Reactions
146 Replies
2K Views
Sawa nina njaa kali. Ila jana nimejitafakari sana, Kati ya kuendekeza njaa au kulinda dignity. Kwanza tumeenda Mnazi Mmoja saa 1 kamili tupo pale, mgeni rasmi RC wa Jiji akafika saa 3 Asubuhi...
23 Reactions
45 Replies
1K Views
Habari hii inahusu tukio la hivi karibuni mnamo Aprili 2026 nchini India, ambapo mwanaume mmoja anayejulikana kama Jitu Munda alilazimika kuchukua hatua kali ili kupata haki yake kutoka kwa benki...
6 Reactions
16 Replies
536 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica Maxence Melo akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown Fm amesema hali iliyopo sasa ya Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari ni mbaya sana "Waandishi...
10 Reactions
19 Replies
444 Views
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo akizungumza Bungeni, Aprili 30, 2026, ambapo ametoa ushauri kuhusu Serikali kupitia Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA CCC) kuingilia...
2 Reactions
3 Replies
244 Views
Hiyi dunia Kuna watu mnamatatizo kichwani unatangaza unatoa ajira watu tunapambana kwenye kundi la watu 300 wanapatikana 10 Alafu unakuja kwenye salary slip kinasoma kimilion moja unusu Hivi...
8 Reactions
37 Replies
729 Views
Anonymous
Maji ya Kilimanjaro hayana tena ile taste (ladha) ya miaka 10 iliyopita, mengi ni ya ladha ya chumvi.... Kampuni ya Kilimanjaro waonye waache uzembe... Hali kadhalika Kampuni ya Sequa maji yao ni...
6 Reactions
25 Replies
475 Views
Mnawafahamu humu waimba pambio wa upande ule kama wanahaga haga kama kuku aliekatwa kichwa. Wamejawa matusi maana hawana facts. Wamejawa maandishi ya kutunga maana itikadi zao na waliowatuma...
2 Reactions
3 Replies
161 Views
Wafanyakazi kutoka idara tofauti mkoani Geita, wameiomba Serikali kuangalia uwezekano wa kutenga fedha kwaajili ya vifurushi vya Intaneti, ili kuwawezeaha utumaji wa taarifa na madokezo kwa...
1 Reactions
4 Replies
170 Views
Hamjambo wote! 1. Turudi kwenye majukwaa, vilinge na vijiwe vyetu. 2. Matusi tupunguze maana kuacha kabisa kuna watu najua hawataweza. 3. Uzushi, bullying, kejeli, kuvuana nguo tuache. 4...
6 Reactions
102 Replies
2K Views
Wakuu ipo hivi 3 plain wanauza 250k used from Dubai hapo protector na cover free. Lakini kuna pixel 3axl hii ni used Tanzania na jamaa ambae anauza alinunua kwa mtu ambae alikuwa anafanya top up...
1 Reactions
4 Replies
179 Views
BARUA YA WAZI KWA WATU WENYE UMRI KUANZIA MIAKA 40 KUENDELEA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Nyaraka nyingi ninazoandikaga mara nyingi haziwahusugi ninyi. Ingawaje mmekuwa mkizisoma na...
21 Reactions
44 Replies
1K Views
Ninatumua account ya bank moja ya kiduanzi initwa EXIM. Pembeni ya hiyo nimekuwa nikitumia NBC. Jana nmepata salary na nikaamua kutuma pesa akaunt ya NBC ili nitoe maana sina ATM Card ya EXIM...
7 Reactions
22 Replies
488 Views
Uamuzi wa kutokuchanganya nyumba yako ya kuishi binafsi na nyumba za wapangaji kwenye kiwanja kimoja ni mada yenye mashiko sana kwa wataalamu wa ujenzi na uwekezaji. Ingawa wengi hufanya hivi...
10 Reactions
6 Replies
492 Views
Kwa sasa nitapunguza Msafara na watumishi watapanda mabus Akafanya sinema moja pale Dodoma akiwa na magari 4 anazunguka ndani ya IKULU maana Ikulu ya cha Chamwino ina eneo kubwa Leo Njombe mambo...
2 Reactions
6 Replies
206 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuhakikisha inamsimamia kwa karibu mkandarasi anayejenga jengo la taaluma katika makao...
1 Reactions
1 Replies
198 Views
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wanaosimamia sekta ya elimu kuanzia sasa waanze kujenga shule zitakazokidhi mahitaji ya mtaala mpya wa elimu ifikapo mwaka 2028. “Tulikuwa na...
1 Reactions
1 Replies
170 Views
Mapendekezo ya Tume ya Rais iliyofanya tathimini kuhusu mgogoro wa ardhi na uhamaji wa hiari, Ngorongoro Eng. Musa Iyombe amesema uamuzi wa Serikali kujenga nyumba kwa wakati huo ulikuwa sahihi...
1 Reactions
1 Replies
261 Views
Sijui ni zimwi. Sijui ni uraibu. Nalala na kuwaza wadada wenye makebo makubwa, napenda kuchakata jagina zao, napenda kuchezea genta zao, kutokea kwenye mapaja, nafurahia kuona tila tila zao...
10 Reactions
25 Replies
538 Views
Mbunge wa Musoma Mjini (CCM), Mgore Miraji wakati akichangia hotuba ya Wizara ya Mawasiliano ameitaka wizara kusimama kidete katika kukabilina na wizi wa mitandaoni. Oktoba 29 Wizara ya...
0 Reactions
5 Replies
163 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…