Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yangu (1)mateso kwa vijana(no ajira) (2)siasa mchezo mkali (3)Maisha magumu (4)...................................
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau Huu ni Uzi maakumu kwa waliobarikiwa kufika salama Mwaka 2018. 1.Aksante Mungu kunibariki hadi kufika mwaka 2018 2.
2 Reactions
87 Replies
5K Views
INAWEZEKANA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KUNA MAMBO YALIKUKWAZA AU KUNA MAMBO YARIKURUDISHA NYUMA AU KUNA MAMBO YALIKUKOSESHA FURAHA... SASA TUKIWA TUMEINGIA MWAKA MPYA NI MAMBO GANI AMBAYO HUTAKI...
1 Reactions
7 Replies
935 Views
Kheri ya mwaka mpya! Tukiwa na muda mchache tangu tuuanze mwaka ni vyema tukajikumbusha maneno ya baba wa taifa hili Mwl. Nyerere ili tuweze kuanza mwaka na tafakuri nzito juu ya makosa yetu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heri ya mwaka mpya wanajamviii Kwanzaa kabisaa nimshukuruu Munguu kwa mwaka mpya kabisaa huu uliotukukaa naaminii utakuwa na baraka tele kwetu sotee kama watanzania Nisicheleee niendee kwenye uzii...
0 Reactions
2 Replies
847 Views
Tukiwa tumejaliwa afya Njema na baraka za kuuona Mwaka 2018 maana sio wote waliopenda kuuona wakaweza kuuona Mwaka huu Mpya 2018. Namuomba Mungu amjalie kila Mwanajamii Forum 1. Kila hitaji Jema...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu Mpendwa, Amani iwe nawe! Tunamtukuza Mungu kwa Mwaka Mpya 2018. Tumeona miaka ikianza na kumalizika kwa kadiri Mungu atupavyo neema. Suala la msingi ni kutafakari pia 'tunawaza nini juu ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
POLENI NA MAJUKUMU YA KAZI MA GREAT THINKERS kwa adabu bila jazba naombeni tujadili hili swala la kuaga maiti.mimi kwa upande wangu naona sio vizuri.ni kama kumdhalilisha marehemu hivi.kuna watu...
14 Reactions
101 Replies
11K Views
Leo nilikuwa nimekaa na watu fulani waliokuwa wanaongelea mambo ya michezo ambapo waliishia kubishana kuhusu neno mbao wakisema linaelezea uwingi wa ubao,sasa je ni kweli huwezi kusema kuna mbao moja?
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Napenda kumaliza mwaka kwa kusema hivi; " Mafanikio yako hayajafungwa kwenye professional ulioyonayo. Mafanikio yako yamefungwa na AGANO ulilonalo katika YESU KRISTO" Usije ukafanya kosa la...
0 Reactions
0 Replies
668 Views
Wakuu nimeona nianzishe Uzi huu kwa ajili ya KUTUBU na kuomba MSAMAHA kwa yale tuliyokoseana.jamani sisi ni wanadamu tunakosea..kama kuna mtu yeyote humu ulimkosea mwombe MSAMAHA..kwa moyo wa...
0 Reactions
6 Replies
960 Views
Nianze kwa kumshukuru Mungu kutujalia kuona mwaka mpya 2018 Nina tatizo kubwa la Kunguru katika eno langu la makazi Wamekua kero sana kwa familia hususan kwenye kuvunja vyombo Nimekuja kwenu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Shalom wana JF Niungane na waumini wenzangu duiani pote kushukuru kwa uhai nilio nao, coz najua wengi hawajapata fursa ya kua hai hadi sasa yakiwa yamebaki masaa kadhaa kuhitimisha mwaka huu. kwa...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Hahahahhha.....ni kweli nadaiwa ila nina mipango kadha wa kadha kuwalipa wadeni wangu.Mungu ni mwema na ataniwezesha katika hilo. Kama unadaiwa pia ni sehemu ya maisha be happy..maisha lazima...
3 Reactions
3 Replies
590 Views
Habarini za mwaka mpya wapendwaaaaa. Happy new year to all of us. Kwanza nashukuru kwa kuwa kwa Mara ya kwanza nimefanikiwa kuingia jamvini humu leo tar01 Jan 2018, ama kweli kwangu hii no...
1 Reactions
4 Replies
545 Views
Ndugu zangu, Namshukuru Mungu Mwenyezi kwa kutuvusha salama mwaka 2017. Nawatakia wanajf wote mwaka mpya mwema wenye upendo, baraka na mafanikio. Majibu ya changamoto za 2017 yatutie nguvu za...
0 Reactions
0 Replies
569 Views
Ndugu zangu, Namshukuru Mungu Mwenyezi kwa kutuvusha salama mwaka 2017. Nawatakia wanajf wote mwaka mpya mwema wenye upendo, baraka na mafanikio. Majibu ya changamoto za 2017 yatutie nguvu za...
0 Reactions
0 Replies
766 Views
*MY END OF YEAR APOLOGY* 2019 updates.... "Everytime you hurt me, I apologized because I felt guilty for making you feel bad." __________________________________________ 2018[emoji818]...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nakushukru bwana kwa yale yote uliyonitendea mwaka 2017 asante kunifikisha 2018 nikiwa na afya njema pamoja na familia yangu sina cha kukutolea zaidi ya kusema adante mungu kwa rehema zako...
1 Reactions
1 Replies
714 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…