Sita Sita
JF-Expert Member
- Aug 25, 2008
- 1,451
- 631
Nianze kwa kumshukuru Mungu kutujalia kuona mwaka mpya 2018
Nina tatizo kubwa la Kunguru katika eno langu la makazi
Wamekua kero sana kwa familia hususan kwenye kuvunja vyombo
Nimekuja kwenu kupata mtego au sumu au chochote cha kufukuza kunguru kwenye compound yangu
Nashukuru sana