AGANO

AGANO

Leon awinia

Member
Joined
Oct 21, 2015
Posts
54
Reaction score
34
Napenda kumaliza mwaka kwa kusema hivi;
" Mafanikio yako hayajafungwa kwenye professional ulioyonayo. Mafanikio yako yamefungwa na AGANO ulilonalo katika YESU KRISTO"
Usije ukafanya kosa la kuangalia mafanikio uliyonayo kwa kuaagalia professional yako bali angalia AHADI ZAKO katika AGANO. Hii ni kwa sababu Ahadi katika Agano zinapita professional yako. Ni vizuri kuanza na MUNGU 2018 mkumbushe Mungu Ahadi zako alizokuahidi katika Agano lake juu yako.
Happy Birthday to me
 
Back
Top Bottom