Mgogoro mkubwa umeibuka katika jengo la biashara la Manyara Safari Lodge – Heritage Camp Lodge lililopo wilayani Karatu, mkoani Arusha, baada ya mwekezaji wa kigeni na mmiliki mwenza wa eneo hilo...
Inaonekana sasa hivi Dar kuna baridi kali sana pupwe linapuliza balaa majira ya winter.
Katika hali isiyo ya kawaida kuna mwamba kaonekana kavaa winter jacket yale majaketi ya winter watu wanavaa...
Huu ndio uhalisia ulioko kwenye jamii.. Jamii haina upendeleo kwakuwa
Ukifanya vema.. Bila hata kuomba itakupongeza na kukusifia sana..LAKINI ukiboronga itakubagaza live bila chenga
Risala...
Mtaalamu wa Saikolojia kutoka Tanzania Health Alliance, Mwanaisha Said, amesema kwamba michezo ya kubashiri (betting) inaweza kuwa chanzo cha matatizo ya afya ya akili kwa vijana endapo itafanyika...
Hata ufanye nini asili itakugusa tu, uzembe wa wengine utagusa hata uwe makini kiasi gani, raha itakupata tu kwa wakati fulani na shida itakupata ili wengine wapate raha.
LIFE
Huyu dogo ni chalii mdogo tu kamaliza chuo miaka mitatu nyuma, leo nimebahatika kuona salary slip yake, kidogo nizimie yaani.
Kuna private sector watu wanakula good time sio poa!
Mimi mdau mkubwa wa hii kitu lakini ni zaidi ya wiki mbili sasa sio kwenye bar wala kiosk haipatikani inakuaje kitu Ina demand kubwa alafu ghafla usambazaji hakuna tena.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deogratius Balile amesema katika maadhimio yao wameweka wazi kuwa awakubaliani na ufungiaji wa Vyombo vya Habari, kama JamiiForums, Jambo Tv au...
UKWELI 'MUHIMU' KUHUSU SUALA LA UMAARUFU!
Umaarufu ni mchanganyiko wa mambo au vitu kama vitano hivi.
1. Kipaji halisi (talent)
2. Muonekano wako na ujitunzaji wako binafsi
3. Kujiamini...
Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara, Stephen Wasira amekanusha chama hicho kutumia vyombo vya Dola kujinufaisha kisiasa.
Ameyasema hayo katika mahojiano maalum na UTV.
Kwanza kabisa naomba nianze kwa kusalimia
Wakubwa zangu Shikamoo, wadogo zangu Marahaba, Mashangazi Chei chei!,
Nimejiuliza sana hivi mliwezaje kujiunga na JamiiForums, maana nimejaribu kufanya...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu akizungumza wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) 2026 yaliyofanyika mkoani...
Hiki ni Kituo cha Afya cha MANDA, WILAYA YA LUDEWA, MKOA WA NJOMBE, kama unavyojionea ni kichafu, hakina mazingira ya kuridhisha ni kama vile hakitumiki au wahusika hawajui nini maana ya usafi...
Mama asimulia jinsi alivyoshuhudia kijana wake Damour Nyakairo akichukuliwa na watu saba waliofika nyumbani kwao na Landcruiser Nyeupe.
Akizungumza na The Chanzo leo Mei 02, 2026, Lilian Swai...
Serikali tunaomba ndugu zetu waliopo South Africa warudishwe nyumbani.
Kuna video inasambaa mtandaoni ikimuonyesha mtz akipigwa sana kama mbwa huko South africa
Hizi ngozi nyeusi zimelaaniwa...
Sawa nina njaa kali.
Ila jana nimejitafakari sana, Kati ya kuendekeza njaa au kulinda dignity.
Kwanza tumeenda Mnazi Mmoja saa 1 kamili tupo pale, mgeni rasmi RC wa Jiji akafika saa 3 Asubuhi...
Habari hii inahusu tukio la hivi karibuni mnamo Aprili 2026 nchini India, ambapo mwanaume mmoja anayejulikana kama Jitu Munda alilazimika kuchukua hatua kali ili kupata haki yake kutoka kwa benki...
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica Maxence Melo akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown Fm amesema hali iliyopo sasa ya Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari ni mbaya sana
"Waandishi...