Kuna video inasambaa tangu jana kwenye mitandao ya kijamii haswa Instagram ikimuonyesha mtoto(Dorcas kama alivyoitwa humo) akichezeshwa wimbo wa chura kweli ile vidio haina maadili kabisa na ni...
Wakuu nimeona mjadala huu na nkaona una mapungufu makubwa nabya kinyonyaji sana kiasi kwamba kuajiriwa sasa kutakuwa ni utumwa zaidi ya ilivyo sasa.
Sijazama kuona ukweli wa haya hapa chini...
Mabibi na mabwana hamjambo woteee, pole kwa wenye matatizo ya hapa na pale, naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
He ni mkoa upi ambao unapambana kila kukicha yawe makazi yako ya kudumu achilia...
Je! Umewahi kutazama watu na kwa kweli ukaitamani furaha yao, ukatamani kuwa wao?
Nikupe siri moja kile kinachokufanya utamani kuwa kama wao ni thelusi tu ya maisha yao halisi na kama ungeliona...
Hope ur all fine,
Mi nadhani ni wakati wa kuzibadilisha policy znazoelekeza usimamizi,matumizi na manufaa ya rasilimali za nchi.
Tuchukulie mfano madini,wenzetu Botswana na Namibia wamekua...
Niko hapa jijini La Paz, nchini Bolivia.
Kuna matukio makubwa mawili yametokea. Moja kuna kituo cha habari kimeungua wakati huohuo Chama tawala kilikuwa Ikulu kinavuna na kuwatangaza wanachama...
WAKATI upimaji wa afya bure ukiendelea katika meli maalumu kutoka China, baadhi ya wananchi jijini Dar es Salaam wamegeuza shughuli hiyo kuwa mtaji baada ya kuanza kuuza namba za kadi...
Wanabodi habari ya leo,
Binafsi naomba kusema ni vyema kuwajali na kuwahifadhi wapendwa wetu waliotutoka kwa njia nzuri na ambazo ziko kihalali kulingana na mila, desturi, tamaduni na dini...
Meneja wa Nyanza Commercial Farm, Dilipkumar Patel, amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela au faini ya mil. 534 na Mahakama ya Mkazi Kisutu kwa kosa la kukutwa na kucha za Simba. Bw. Patel...
Hivi ni kwanini MpesaTigo pesa/ Aitel money/Z-pesa Tanzania hawaingii makubaliano na Moneygram au Western union katika kutuma fedha toka ng'ambo? Hivi hili ni suala la kuambiwa kwa jinsi...
Siku kadhaa zilizopita nilikuwa chini ya uangalizi wa magereza. Hii ilitokea baada ya kwenda kumdhamini mtu mahakamani. Bahati mbaya simu ilivyoita ndio ikaniponza siku 15 hakuna kuona jua.
Kuna...
Wadau,
Jumla ya wakazi 1,172 wa vijiji vitano vilivyo jirani na Ikulu ya Chamwino Dodoma wamenufaika na mafunzo maalumu waliyopewa ya kuwaongzea ujuzi ili waweze Kushiriki vema Upanuzi wa...
Naona usajili wa sasa umeenda sambamba na dirisha dogo la VPL, kila timu inajitahidi kuimarisha kikosi chake, huyu anaenda huku na huyu anaenda kule, siasa kama soka usimwamini sana mchezaji...
Wana jamvi habari zenu kwenye pta pita zangu nime liona sana hili neno Black friday, mara nyingi nime iona mwezi huu kwenye mitandao ya njee ya nchi ya tanzania waki tangaza sana ...kuna lecturer...
Pamoja na Mikutuo yote unayopitia kukata tamaa iwe ni mwiko.
Pambana hadi dakika ya mwisho na ushindi utakuwa upande wake.
Jifunze hata kupitia mbuzi huyu mtata
Polisi imesema amebainika kuwa na funguo bandia saba za ofisi ya mhasibu.
Singida. Mhasibu aliyeondolewa kazini kwa vyeti feki, anashikiliwa na polisi akituhumiwa kuiba fedha katika Hospitali ya...