Isingekua dhambi kama ACACIA tungewakabithi walipe deni letu la Taifa??

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
892
1,226
Hope ur all fine,
Mi nadhani ni wakati wa kuzibadilisha policy znazoelekeza usimamizi,matumizi na manufaa ya rasilimali za nchi.
Tuchukulie mfano madini,wenzetu Botswana na Namibia wamekua wakifaidika directly na mapato ya madini yao kwa kuzikabidhi kampuni zinazojishughulisha na uchimbaji wa madini wateleze miradi mbalimbali ya elimu,afya na mengineyo..hii leo mji wa Windhoke kama ulaya.
Kama tunawadai ACACIA Tri 340 imeshindikanaje kuwaambia pesa zetu lipeni deni la taifa Tri 54 pesa zetu jengeni hospitali za rufaa kila mkoa,pesa zetu wekeni nerwork ya barabara kila sehemu au pesa zetu muwalipie wanafunzi ada miaka kadhaa.
Nadhani runahitaji mabadiliko!!!
Nawakilisha;luqman mohamedy
 
Mmmmm MUGABE anataka pesa cash ili aweze kuwaonga upinzani wahamie chama la mauwaji


Swissme
 
Back
Top Bottom