David Kafulila amtaka RC Makonda kuonesha vyeti

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,588
11,668
Salam wakuu......

Zitto alipokuwa anagombea ubunge mwaka 2005 wapinzani wake waliibua hoja kua hajasoma, zitto alionyesha vyeti vyake na hoja hiyo IKAFA.

TAFAKARI (1)

Mtu yuleyule aliyeisifia serikali kwa kuwafukuza kazi watu waliofoji vyeti ndo huyohuyo anamtetea DAUDI leo. UNAFIKI!!!!!!!!!!!!

TAFAKARI (2)

Hoja hapa sio DAUDI kupata sifuri,mbona hata ole sendeka anayo sifuri safi kabisa lakini pia ni RC?? Hoja hapa ni kiongozi kuiba cheti.....

TAFAKARI NA DAVID KAFULILA

Screenshot_2017-03-10-11-42-38.png

Acha unyani unyani wewe umesoma.

mr mkiki
 
Mpaka sasa Hakuna aliefanikiwa kupata Picha ya aliebiwa cheti Ila alieba cheti taarifa zote tumepata.

Imekuaje tumekosa walau kapicha ka Makonda Original Pamoja na utandawazi na mitandao yote tuliyonayo, tunaishia kusema anatangaza Radio Fulani Tabora

Mie nimejifunza Kitu kwny Kashfa ya Richmond tulimsakama sana Mtu Fulani Tena Vipeperushi Makini vikatuambia Mpaka Ushahidi wa Documents wanao, wakahoji Mbona Mtuhumiwa hajakanusha?

Miaka nane Baadae ukaja Wimbo kuwa tulimsingizia Kimakosa na taarifa zile za Ufisadi ilikuwa Vita ya ndani kwa ndani ya Chama chake!!
 
Aliyekuwa mbunge wa Kasulu Kigoma na mwanachama wa Chadema Mh. David Kafulila amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda aonyeshe vyeti vya elimu yake ili nchi iendelee na mambo mengine

Kafulila pia ameshangazwa na ukimya wa mamlaka ya uteuzi na wizara ya elimu na vyuo alivyosomea Makonda. Kwa kawaida vyuo alivyosomea Makonda vinatakiwa kuchukua hatua kupata uhakika wa ukweli wa jambo hili ili hatimaye vifute vyeti vilivyomtunuku Makonda kwa kuwa hakuwa na sifa za kudahiliwa.

David Kafulila amemtaka Makonda ajiuzuru kama hana vyeti ili hatua za kisheria zifuate
 
Kafulila angefuatilia tu yeye mwenyewe kama alivyokomaa na escrow! Au naye Kafulia...ahhh sorry ni Kafulila.
 
BASHITE MWENYEWE YUKO SOUTH AFRICA ANAPUMULIA MASHINE.

KOROMIJE WANAFANYA MATAMBIKO TU SAA HIZI.
 
Hana ataweka nini? Sana sana akileta ataleta vina sampuli mbili baadhi PEPSI vingine MIRINDA.
 
Mpaka sasa Hakuna aliefanikiwa kupata Picha ya aliebiwa cheti Ila alieba cheti taarifa zote tumepata.

Imekuaje tumekosa walau kapicha ka Makonda Original Pamoja na utandawazi na mitandao yote tuliyonayo, tunaishia kusema anatangaza Radio Fulani Tabora

Mie nimejifunza Kitu kwny Kashfa ya Richmond tulimsakama sana Mtu Fulani Tena Vipeperushi Makini vikatuambia Mpaka Ushahidi wa Documents wanao, wakahoji Mbona Mtuhumiwa hajakanusha?

Miaka nane Baadae ukaja Wimbo kuwa tulimsingizia Kimakosa na taarifa zile za Ufisadi ilikuwa Vita ya ndani kwa ndani ya Chama chake!!
Mnatetea maujinga.
 
Back
Top Bottom