Upi mkoa wa ndoto za maisha yako?

Upi mkoa wa ndoto za maisha yako?

Moneyowner

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,422
Reaction score
1,254
Mabibi na mabwana hamjambo woteee, pole kwa wenye matatizo ya hapa na pale, naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
He ni mkoa upi ambao unapambana kila kukicha yawe makazi yako ya kudumu achilia mbali na kwamba umezaliwa huko. Ila tujikite katika ubora wa manbo yafuatayo:-
1.Huduma za kijamii na miundo mbinu
2. Usalama wa afya na Mali
3. Fursa za kujiongezea kipato na kukuza uchumi binafsi.
4.Gharama za maisha.
5.Hali ya hewa na majanga ya asili.
6. Upatikanaji wa aridhi kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi.
Hii naomba iwasadie pia wafanyakazi wanaohamishwa hamishwa, badala ya kujenga Nyumba kila wahamishwako. Kama unapapenda pia ulikozaliwa siyo mbaaya.

Karibuni
@darubinpost
 
wakuu kwa aliyepo mwanza naomba anisaidie kitu kimoja kama ni mwenyeji,nimeharibu iphone 6 plus,niliikalia bahati mbaya,ombi langu natafuta nyingine ya kumvua mtu,ila aliyepo mwanza..sijui kwa kuitafuta na mfuko wangu hautoshi kununua mpya kwa sasa,maisha yangu yamekuwa magumu sana bila hiyo simu,kwa mwenyeji naomba anisaidie chimbo nikawavue wana wenye shida na pesa ya haraka..ningekuwa dar isingekuwa shida kuipata nyingine,huku nipo kwa muda tu na ni mgeni kabisa kabisa,pia huu mji ni mzuri sana tofauti na mikoa mingi hapa tanzania,pamejengeka sana sana...hongereni wana mwanza kwa kupapenda na kurudi kuwekeza nyumbani!
 
Pole sana
 
Back
Top Bottom