Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,649 Reaction score 3,818 Nov 22, 2017 #1 Pamoja na Mikutuo yote unayopitia kukata tamaa iwe ni mwiko. Pambana hadi dakika ya mwisho na ushindi utakuwa upande wake. Jifunze hata kupitia mbuzi huyu mtata
Pamoja na Mikutuo yote unayopitia kukata tamaa iwe ni mwiko. Pambana hadi dakika ya mwisho na ushindi utakuwa upande wake. Jifunze hata kupitia mbuzi huyu mtata
THEGENTLEMAN1996 JF-Expert Member Joined May 13, 2017 Posts 518 Reaction score 593 Nov 22, 2017 #2 video ya nini ? tamaa ni nini ? 1)tamaa ya wizi ? 2)tamaa ya mafanikio ?
Nelson nely JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 4,251 Reaction score 2,870 Nov 22, 2017 #3 Mwamba028 said: Pamoja na Mikutuo yote unayopitia kukata tamaa iwe ni mwiko. Pambana hadi dakika ya mwisho na ushindi utakuwa upande wake. Jifunze hata kupitia mbuzi huyu mtata Click to expand... Nilishaapa sifi kiboya
Mwamba028 said: Pamoja na Mikutuo yote unayopitia kukata tamaa iwe ni mwiko. Pambana hadi dakika ya mwisho na ushindi utakuwa upande wake. Jifunze hata kupitia mbuzi huyu mtata Click to expand... Nilishaapa sifi kiboya
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 21,812 Reaction score 44,702 Nov 22, 2017 #4 Safi confidence ya Dr hiyo...
Ibilisi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2017 Posts 3,465 Reaction score 5,594 Nov 22, 2017 #5 Hapo ng'ombe alikuwa anafanya mazoezi tu hakuwa serious, kambuzi kamekomaa kweli ki-diehard![emoji1] Ni kama Everton Vs Gor Mahia first half
Hapo ng'ombe alikuwa anafanya mazoezi tu hakuwa serious, kambuzi kamekomaa kweli ki-diehard![emoji1] Ni kama Everton Vs Gor Mahia first half
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,400 Reaction score 465,170 Nov 22, 2017 #6 Asante mkuu kwa kutukumbusha ila nahurumia mb zangu hiyo video ya mbuzi inasemaje eti