Mtumiaji wa mtandao wa kijamii wa Facebook anayetumia majina Kwinyara au Kwinyara Kwintara au Kwinyara Kwinyara ni tapeli mkubwa sana kwa kujifanya ni mfia chama wa chama cha Demokrasia na...
Tuliambiwa Tundu Lisu alikimbizwa Kenya kwa kuhofia Usalama wake, kwamba Madakatari na watu wetu siyo wakuwaamini kwamba wangemmalizia mbali, sasa Je, Makamu wetu wa Raisi asingeweza kummaliza...
MUHIMBILI:
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imefanya upasuaji wa kuhamisha moyo kwa mtoto wa miezi 9 ambaye alizaliwa moyo wake ukiwa upande wa kulia
Hii ni mara ya kwanza kwa upasuaji...
Kwa kifupi ni ugonjwa unaoshambulia maeneo ya Uso hasa Mdomo,Oris/oral Mouth ni ugonjwa unaosababishwa na bacteria na kusababisha kukauka/gangrene kwa tissue,ngozi inayozunguka mdomo.
Ugonjwa huu...
Jeshi la Polisi Zanzibar, limesema limepokea taarifa ya kuzama kwa boti katika bahari ya Zanzibar, iliyokuwa ikitokea Tanga, kuelekea kisiwani Pemba.
=============================
Kikosi cha...
Kuna baadhi ya mambo yanafanyika nchini hasa yale ya kimaendeleo au miradi flani ila utasikia kwa niaba ya Kiongozi flani ndo amewezesha huo mradi au ametekeleza hilo jambo hili naona halisound...
Katika karne ya 21 tunatumia muda na akili nyingi kulalamika tu, kulaumiana na kufuatilia nani kamzodoa mwezake . Yaani hatuna kitu chochote cha maana tunachoanzisha iwe ni wazo au kitu tangible...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Kimeokotwa kitambulisho cha taifa maeneo ya KNCU MOSHI MJINI, JIRANI NA PUB ALBERTO.
Kwa yeyote anayemfahamu au mwenye taarifa ya muhusika awasiliane na...
Naomba niulize baada ya mkutano wa kumuapisha Uhuru Kenyata, ma rais wengi wali elekea kwenye mkutano wa Africa Union/ European union huko Abidjan, cote d'ivoir tar 28,29 rais wetu wa tanzania...
Nimesikia anataka eti kwenda Libya kuchukuwa Wakimbizi na kuwaleta Unyarwanda, vipi kuhusu hawa waliojaa nchini kwetu? Acha usanii wewe babu, ...
Watoto wakimbizi ktk Rwanda walioko nchini kwetu...
Mgodi wa Acacia Buzwagi uliopo mjini Kahama umeanza maandalizi ya kufungwa kwa kuwaaga wananchi ambao waliguswa na miradi yake, huku ikiwapa elimu ya kufanya shughuli za kujitegemea bila uwapo...
Katika video Nyerere anaeleza kuna kipindi Karume alianza kuwafukuza wamakonde kutoka zanzibar,
Nyarere alipopata habari akamuita na kumuuliza mbona unafukuza wamakonde?
Majibu ya Karume sasa...
Hi gt
Muda huu mbwa kichaa amevamia mtaa wa mlima FUNDI Korogwe Tanga ameng'ata mbuzi watatu tumboni wote wamekufa na mtoto wa kike mikononi lakini ameuawa na wana mtaa
THE HAGUE - War crimes convict Slobodan Praljak passed away in hospital here after he poisoned himself in the courtroom as the appeals ruling was being handed down, the International Criminal...
TCRA imeanza kampeni za kuelimisha wananchi kuhakiki usajili wa simu card zao ili kujiweka salama kutokana na utekelezaji wa sheria ya Epoca ya 2010 inayotaka kila simu ya mkononi iwe imesajiliwa...
Waombolezaji katika Kijiji cha Katani wilayani Nkasi mkoani Rukwa wameitelekeza maiti kwenye jeneza na kutimua mbio baada ya mvua kubwa iliyoambana na radi kuanza kunyesha ghafla.
Tukio hilo...
Kuna baadhi ya vyombo huwa vinafanya tafiti za mambo tofauti tofauti kitaifa na kimataifa.
Ningependa kujua baada ya kuingia awamu ya tano je suala la Rushwa likoje....imeongezeka au umepungua...
Wakati Chadema ikiendelea kufanya Tathmini ya uchaguzi huu mdogo uliopita kwa kutafuta Sababu za kushindwa kwao basi wasisahau pia kumtaja mzee Ndesamburo kama sababu mojawapo.
Najua watakuwa...