Neema Mura
New Member
- Jan 4, 2018
- 4
- 1
Hi everyone on JF! Nina swali,, na pia naombeni majibu .kwa waliofanikiwa na wanaohitaji , Je? Taasisi ya Mikopo itwayo STEP UP LOAN NI taasisi ya kweli? Na IPO chini ya Nani Ahsanteni Wanajamvi tufumbuane Akili.