Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wasalaam, Nianze kuweka wazi kwamba ninachokiandika hapa kimejikita kwenye uzoefu binafsi katika maisha yangu, jamaa na rafiki zangu. Katika jamii yetu kumekuwa na mijadala tofauti kuhusu uhusika...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari... Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Ukiwa mfanya biashara, mfano unamiliki duka la simu, Na simu unaagiza Toka China. Je, wakati wa kuagiza simu si kuna koda ambazo TRA watataka...
0 Reactions
7 Replies
938 Views
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza amesema kuwa, serikali inafuatilia kwa karibu wasanii wote wanaoweka picha za kukosa maadili kwenye mitandao na kuwachukulia...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwezi mmoja uliopita, Ndugu.Zakayo Chacha Wangwe (diwani wa Kata ya Turwa - Tarime mjini) aliyehamia CCM leo, aliandika maneno haya. ________________________________________________ Hakuna kitu...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau wote wa *JF *Wana CCM *Wazalendo *Watanzania Jamani poleni na pilika za siku nzima na pia nawapongexa sana kwa ushindi wa kishindo na pia natoa shukrani kwa kuunga mkono agenda yangu ya...
9 Reactions
106 Replies
9K Views
Hi great thinkers nishaurini nifanyaje ili wife aniruhusu ninywe Kwa Uhuru? nanywa kisiri siri safarini.
0 Reactions
17 Replies
1K Views
kama mnavyokumbuka baada ya halotel kupunguza vifurushi nikategemea hawa voda wanaweza wakawa mkombozi lakini mambo ndivyo sivyo ukishangaa ya halotel utayaona ya voda baada ya jana kuweka bando...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Naomba kufahamishwa ni Jinsi gani naweza kufika Kinshasa Kwa njia ya Barabara,ningependa kufahamu ni njia gani ya karibu,gharama na changamoto zake njiani, Pia...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni kilio chetu madereva mzani huu umekuwa hauna usahihi wa vipimo vyake, na mara nyingi magari yamekuwa ya kuzuiwa pale Taifa kwa madai kuwa yamezidi uzito na kupelekea wahusika kuandika faini...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
UJAMAA (SOCIALISM):Una ng'ombe wawili, unampa mwenzio ng'ombe mmoja kisha mnatafuta dume linazalisha mnaendelea na maisha . UKOMUNISTI: Una ng'ombe wawili, serikali inawachukua wote kisha itakua...
2 Reactions
7 Replies
889 Views
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe amesema kuwa ipo haja ya nchi kushauriwa kuvaa vazi la batiki au kitenge kwa ajili ya kuenzi utamaduni wa nchi. "Ipo haja ya...
3 Reactions
79 Replies
10K Views
Tuliambiwa kuanzia January mosi 2018 local channels zilizo kuwa zikitoswa malipo ya kabla zitakuwa free,chaajabu wembe ni uleule....malipo ya kwa local channels katika king'amuzi cha startimes...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wadau? naomba kufahamishwa, Kama mtu akiwa na Kiwanja sqm400 ataweza kujenga nyumba ya familia ya namna gani na space ikabaki?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu! Sijasikia mamlaka ya hali ya hewa ikitoa tahadhari kuhusu mvua kunyesha Dar. Usiku huu hapa nilipo kuna mvua kali na ya upepo kama saa moja sasa na wala sielewi hii mvua imetokea...
8 Reactions
85 Replies
12K Views
UKWELI MCHUNGU Hakuna chochote katika maisha cha kupigania! Nguo zako zile bora kabisa kuna mtu kwake ni matambara tu. Akiba yako kwenye akaunti ya Benki ni sawa na mchango wa mtu katika sherehe...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Jumla ya wanafunzi watano wa kike wa shule za sekondari Tandahimba waliopata mimba mwaka 2017 wamekamatwa pamoja na wazazi watano baada ya kufanyika msako na kufanikiwa kukamatwa kwa watu hao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naombeni tafsiri halisi la neno mchochezi! Maana ili neno limekuwa taabu sana kwa maisha ya kila Siku pls wajuzi naomba mje..... .
0 Reactions
2 Replies
771 Views
Serikali imetoa siku 14 kwa kampuni ya Stamigold, inayomiliki Mgodi wa Dhahabu uliopo Biharamulo mkoani Kagera, kuandaa mpango mkakati wa kibiashara, utakaobainisha namna itakavyojiendesha pasipo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar zenu Hama baada yakufanya utafiti wangu kwa kipindi cha takriban miaka 2 ..nimeona hili mtu uitumie mitandao ya kijamii vizur haina budi kutokitukana chama cha chadema ...kwani ndio chama...
0 Reactions
1 Replies
624 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…