Neema Lusaka na mumewe, Emmanuel Shimba pamoja na mtoto wao.
DAR ES SALAAM: Wanaume kaeni chonjo! Katika hali ya kushangaza, mwanamke mmoja ambaye ni mke wa mtu aliyejulikana kwa jina la Neema...
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), kupitia Kaimu Mkurugenzi wa Ulinzi na haki za Kisheria Lina Msanga amesema kuwa idadi ya wanandoa wanaopeana talaka imekuwa ikiongezeka mwaka hadi...
Wakuu,
Hizi kelele za muungano kila kukicha muungano kwa watu wanatutegemea naona iwe mkoa tu tuwe na nchi moja.
Tanzania ili tusonge mbele kelele zitatupoteza na wale watakaotaka kuuvunja...
Kwa kipindi hiki watumiaji wa Bima za Afya wamekuwa wakipokea moja kwa moja ujumbe kwenye simu zao za mkononi kutoka NHIF kuwajisha kuwa Kadi zao za bima zimetumika. Kwa kutaja Tarehe; siku; muda...
Nimesikia maneno haya lakini bado sijajua ni vyombo au taasisi gani na vinafanya nini
MKUKUTA na MKURABITA
Naomba mwenye kufahamu zaidi wanijuze nijue masahi na faida zake kwa raia wa kawaida
Siku moja tu baada ya kuolewa kisha kwenda kuishi kwa mumewe kwa siku moja, bibi harusi, Shani Saidi ‘15’, Mkazi wa Manyuki-Kihonda mkoani hapa ameikimbia ndoa yake kisha kurejea kwao
wakati...
Kuna jamaa mwenzangu analalamika kila siku huku akifikiria cha kufanya na kukwama kimawazo.
Yeye anaishi na mzazi wake mmoja wa kike baba yake alifariki.Tatizo huyu mzazi wake hajiwezi mke wa...
Wana Jf habarini za kwenu
poleni na majukumu ya kila siku
wakongwe naomba kuuliza ...
naamini kuwa hapa ndio mahali pekee ambapo naweza pata maarifa ya mambo kadhaa... na kwa upana wake
Leo...
Hi great thinkers!
Kuna binti mtaani kwetu ana matendo nisiyoyaelewa kabisa.Ni mpole lakini vitendo anavyo fanya kwa wenzie ni vya hatari na hajari.
Saa nyingine anachoma moto wadogo zake...
Hellow team,
Napenda kutoa kero zangu kuhusu pale Kahama Government Hospital;
1: Kumekuwa na huduma duni sana.
Unaweza fiwa na mgonjwa kwasababu ya kukosa matibu, hii inasababishwa na...
kuna hili swala LA watumishi wa darasa LA saba walioenguliwa eti hawana vyeti vya form four Sasa serikali ilipowaajiri haikujua kama elimu yao ni ya darasa LA saba? Na isitoshe tangu...
Leo wakati msafara wa Obama ukiwa unasubiriwa pale mitaa ya Karume ya treni imegonga magari mawili na kuua abiria wane. Mmoja ndani ya Lori(dereva) na wengine na Toyota Hiace (Private). Magari...
Ndugu wanajamvi,
Kwa mtazamo wangu niliopata kuona hasa sehemu za kitaaluma kama vyuoni, wanafunzi waliosomea government wanawakimbiza kitaaluma waliosomea private schools.
Wakuu habarini!. Hakuna mtu hata mmoja ambaye hadi sasa hajaathirika na siasa za Tz kwa namna yoyote ile. Lakini pia hakuna mtu ambaye hadi sasa hajaathirika na imani za kidini za Tz hapa. Yaani...
Kwa heshima kubwa kabisa kwanza kama kiongozi lakini pili kama mkubwa wangu kwa umri lakini tatu kama mtanzania mwenzangu napenda kukuandikia haya machache ambayo nina uhakika utayaona na...
KWA mara ya kwanza katika historia, hatimaye wanasayansi nchini Uingereza wamefanikiwa kutengeneza kwa maana ya kuzalisha na kukuza mayai ya binadamu kwenye maabara mafanikio ambayo yametajwa...