Shinbet18
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 255
- 264
Hi great thinkers!
Kuna binti mtaani kwetu ana matendo nisiyoyaelewa kabisa.Ni mpole lakini vitendo anavyo fanya kwa wenzie ni vya hatari na hajari.
Saa nyingine anachoma moto wadogo zake matakoni wakifanya makosa hata madogo. Saa nyingine anawashikia visu wasichana wenzie wakigombana na wengine anawakata kabisa.
Saa nyingine anawashindisha njaa hata kama chakula kipo wakilia wanafinywa mpaka wanatoka damu mashavuni. Jana kamvuta mbupu mdogo wake kisa kamtuma akachelewa mbupu zimevimba.
Pia huyu binti inasemekana alifanya abortion Mara nne pia alikanyoga katoto kake ka miezi miwili kwa kukalalia kilichosemwa amekalalia bahati mbaya.
Ndo manaa naomba ufafanuzi hapo juu kuhusu watu wenye waliwahi kufanya matukio hayo tabia zao zipoje kama walifanyiwa tafiti yoyote.